kaka naomba namba yake ya simu na mimi nikajifaidie.Kwa walio gonga mihuri wanadai mtoto yuko fit katika idara ya kujituma na akilewa ndio hakulaliki kabisaa lol!
lugha ya staha kidogo,kuna uvumi pia anatumia laini 3 siku hizi ( simu bana kwani wewe ulidhani nini ? ) hahahaha!
Hapa sikubaliani na wewe kabisaaaaaa, unataka kusema watoto wenye kulelewa na wazazi wa2 sio watundu? Kuna article nilisoma hivi karibuni inasema watoto wenye kulelewa na mzazi mmoja (hasa kama ni wa kike) wana develop spirit on independance na a better respect for women sababu wanaelewa women can do just as good as men.<br />
Malezi mabaya ni kote tu.
Yeah, you are right! Hivi yule VEMA anao wote wa2 enhe?
YES!!! I DO BELIEVE IN NATURE
KAMA IPO IPO TU , MALEZI NI MAJALIWA YA MWENYENZ MUNGU!
YES!!! I DO BELIEVE IN NATURE
KAMA IPO IPO TU , MALEZI NI MAJALIWA YA MWENYENZ MUNGU!
AMEN!!!
HaKa katoto ndo maana kamedumaa.
mwacheni huyu binti, yuko kwenye umri wake sahihi kwa yote anayofanya. Kila mmoja wetu kapitia mambo ya umri huu, kwa wale ambao hawakufanya yanayotakiwa, ndo hao tunaona wanakamatwa gesti au ugoni wakiwa karibu na miaka 50 sababu wanafanya mambo ambayo walitakiwa kufanya katika umri wa lulu, wengine watu wazima ndo wanakumbuka kwenda disco matokeo yake wanakutana na watoto wao waliotoroka majumbani. Halafu wengine wanamkandia kwa roho mbaya zao tu![]()
Sio kweli. She should not be doing this, this is wrong. na ukisema ni sawa sababu ya miaka yake unafungulia ujinga mlango.mwacheni huyu binti, yuko kwenye umri wake sahihi kwa yote anayofanya. Kila mmoja wetu kapitia mambo ya umri huu, kwa wale ambao hawakufanya yanayotakiwa, ndo hao tunaona wanakamatwa gesti au ugoni wakiwa karibu na miaka 50 sababu wanafanya mambo ambayo walitakiwa kufanya katika umri wa Lulu, wengine watu wazima ndo wanakumbuka kwenda disco matokeo yake wanakutana na watoto wao waliotoroka majumbani. halafu wengine wanamkandia kwa roho mbaya zao tu