Embu tukatoe maoani thread za akili timamu jamani jamani hakla kama9990 kasiwasumbue mkaacha kutoa mawazo yenu kuna watu wamepigika kwenye ndoa kule jukwa la nanii embu wasaidien jamani
Embu tukatoe maoani thread za akili timamu jamani jamani hakla kama9990 kasiwasumbue mkaacha kutoa mawazo yenu kuna watu wamepigika kwenye ndoa kule jukwa la nanii embu wasaidien jamani
Sababu inabidi kumuelewa ili walau tujitahidi kwa wenetu kua tufanye nini ili kuepeka hayo.... Huyu ni binti mdogo saana mwenye mvuto kimapenzi kwa vijana na watu wazima... kila anaemfuata sio kwamba anampenda (thou aweza kuwepo) but most wanataka kumchezea... kwa gharama yoyote... Bahati mbaya she is too young and too naive kujua hilo - By the time ana realise hope it is not to late... She is too beautiful to do what she is doing...