Kwa msingi wa ndoa sio sahihi labda kishikaji sogea tukae

Kwa msingi wa ndoa sio sahihi labda kishikaji sogea tukae

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
4,159
Reaction score
6,341
MADA: UWAZI NA UAMINIFU KATIKA NDOA


Mwanamume ameeleza kuwa kwa miaka 14 alikuwa akilipa kodi ya nyumba ambayo kumbe ilikuwa mali ya mke wake. Hata hivyo, mke wake aliishi kana kwamba nyumba hiyo si yake, bila kumweleza ukweli.

AMELIA SANA


View: https://vm.tiktok.com/ZSpSpqsHC/
 
Back
Top Bottom