Mmh!, Lulu..... noma

Mmh!, Lulu..... noma

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
411
Kumbe haka kabinti kana vipaji lukuki...,si uigizaji tu.
 

Attachments

  • lulu 1.jpg
    lulu 1.jpg
    54.1 KB · Views: 1,887
  • lulu 2.jpg
    lulu 2.jpg
    44 KB · Views: 3,537
  • lulul.jpg
    lulul.jpg
    48.6 KB · Views: 1,770
kashakuwa ka screpal hako, viroba tu vinakatosha
 
Embu tukatoe maoani thread za akili timamu jamani jamani hakla kama9990 kasiwasumbue mkaacha kutoa mawazo yenu kuna watu wamepigika kwenye ndoa kule jukwa la nanii embu wasaidien jamani
 
Malezi ya Mzazi mmoja ya matatizo yake - na huyu binti ni matokeo ya kulelewa na Mama peke yake!
 
Embu tukatoe maoani thread za akili timamu jamani jamani hakla kama9990 kasiwasumbue mkaacha kutoa mawazo yenu kuna watu wamepigika kwenye ndoa kule jukwa la nanii embu wasaidien jamani

pdidy lugha yako nguvu aiseee
 
'Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya,wengi wameteketea kwa kuendekeza umalaya'.Prof jay
 
umaarufu unamponza alianza ile mambo akiwa mtoto mno
 
hahaha anamaanisha huyu mtoto kazaliwa 1990.... kwa nini watu wazima kama sisi tupoteza muda kumjadili...?


Sababu inabidi kumuelewa ili walau tujitahidi kwa wenetu kua tufanye nini ili kuepeka hayo.... Huyu ni binti mdogo saana mwenye mvuto kimapenzi kwa vijana na watu wazima... kila anaemfuata sio kwamba anampenda (thou aweza kuwepo) but most wanataka kumchezea... kwa gharama yoyote... Bahati mbaya she is too young and too naive kujua hilo - By the time ana realise hope it is not to late... She is too beautiful to do what she is doing...
 
Back
Top Bottom