we chukuwa hiyo hela halafu zaa nae:crutch:.....
wewe ndo limbukeni ambae unadhani soda ndo big deal na unapokea.au wewe ndo kiwango chako cha soda nini?tena soda yenyewe ya elfu kumi?si ulimbukeni wako kani amekuomba
gari ya elfu kumi?mkuu mie nadhani inabidi tuwe tunasema chukua hela then unapiga kimya.mambo ya soda yanatoka wapi?Tutakuwa tunasema "chukua hela ukanunue gari" hapo vp?
kweli mkuu,IPO SODA YA KOPO!soda hapa ziko nyingi. Wajameni. Ila huo ni mtego.