Mmh hizi soda mbona kazi

actus

Senior Member
Oct 7, 2011
104
24
‎'chukua elfu kumi hii ukanywe soda' sisi Watanzania jamnn! soda gani ya elfu kumi ?
swali mtu anapokupa utachukua?au anaposema soda inakua inasimamia matumizi mbalimbal iunayoweza kufanya?
 
Mtu anaposema chukua ya soda anamaanisha kiwango cha pesa alichokupa ni kidogo sana kwa mtazamo wake.
 
akikwambia soda unaweza pata na msosi, so sio lazima akuambie vyote. pia ni njia ya kukupa fair kwani mtu akikuambia chukua ukaleutajiuliza hivianadhan sijala, sasa anakua amekukwaza kidogo.
 
Hiyo kawaida kwa kiswahili mfano mtu anajenga hekalu Mbezi, anakuambia ,aaah najenga kakibanda kangu huko Mbezi au mtu ana Bilioni chache bank anasema ana vijisenti.
 
Nafikiri ni lugha iliyozoeleka, kumaanisha kuwa unampa mtu hela ambayo inamtosha kununua kitu kidogo chochote cha haraka .... Si soda kama soda, au watalaamu wa Kiswahili hapa JF mnasemaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom