Joti mtaftaji si kama wavulana wa Dar wanabaki kufuta vigari vya wasichana wa mkoani walioanza kazi juzijuzi,alafu kila akiona gari unaskia aah ya mkopo hiyo,haya sasa serikali ya JPM haitio mkopo,semeni sasa?
Wanaume wa Dar bhna,Joti anakusana mamilioni ya hela we unabaki kumkebehi,endelea tu utabaki na ooh braza sjala kabisa nsaidie Miambili!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.