Mmh...haya

Mmh...haya

anaweza asiwe na nia ya kushikishwa ukuta na vidume,ila hizo make up anazopiga zitakuja kuathiri hormon zake na kuzifanya za kiume ziwe weaka na za kike ziwe active hapo ndo atakuja kulitafuta dudu popote lilipo limkune
 
Sijawahi kutamani kumwangalia jinsi ambavyo anaudhi hata kama ni kutafuta hela sio kwa jinsi hiyo kuna vitu unaambiwa uvifanye upate hela ukashindwa
 
Naamini ukiwa muuza bange na kuwasha kuna siku utaivuta
Naamini ukiwa kondakta kuna siku utaendesha gari hata kusogeza
 
Pesa hutafutwa katika style mbalimbali, kuigiza pia ni mojawapo ya kujitapatia kipato. anachofanya Joti anavaa uhusika wa kile anachokiigiza ndio maana ya sanaa. kwa hiyo kwa akili zenu mtu akiigiza, mlevi au mchawi ndio anakuwa yuko hivyo?, sasa nyinyi watu wazima mnatofauti gani na watoto wanaoshindwa kutofautisha maigizo/ movie na uhalisia? Mwigizaji wa kaole bi Mwenda alishawahi kulalamika kuwa wakati ana cheza scene ya kama Mama mchawi alipata sana shida ktk jamii kila alikokupita alichukiwa na kuitwa mwanga wakati yeye alikuwa anatimiza wajibu wa sehemu yake katika filamu au tamthilia kama alivyopangiwa. leo ndio nimeamini kuwa kumbe nyinyi ndio mnawatuhumu watu ktk maigizo kana kwamba hicho wanachokionyesha ndio halisi. Michael Jackson alionyesha mishukule katika video ya thriller mkamwita mchawi. aibu sana watu wa jf na elimu zenu jambo dogo kama hili mnashindwa kutifautisha? daa bora hata watoto wa jule fb wana afadhali.
 
Hivi ana mke na watoto kweli huyu jamaa na huiaga familia kuwa anaingia kazini?
 
Nilitaka kuuliza swali hilo hilo, waokaa jirani naye watuambie kama walau anademu. Maana sijawahi kusikia akiwa na skendo ya demu toka nimeanza kumjua.

anaweza asiwe na nia ya kushikishwa ukuta na vidume,ila hizo make up anazopiga zitakuja kuathiri hormon zake na kuzifanya za kiume ziwe weaka na za kike ziwe active hapo ndo atakuja kulitafuta dudu popote lilipo limkune

Sijawahi kutamani kumwangalia jinsi ambavyo anaudhi hata kama ni kutafuta hela sio kwa jinsi hiyo kuna vitu unaambiwa uvifanye upate hela ukashindwa
 
huyo ni msanii tuu. mbona anapoigiza kama babu hamumsemi kuwa ni babu.au anapoigiza kama mtoto shulen hamsemi kuwa ni mwanafunzi anazuga tuu!
ukweli ni kuwa joti kama walivo wasanii wengine anauvaa tabia husika haswa upande wa vichekesho.kuwa shoga si lazima u act mavazi kama mwanamke.wapo wengi maofisini huko wana character za smart men lakin wanapumuliwa
 
Mmh...! Haaya...![emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom