Black Tanzanite
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 589
- 763
Uchaguaji huja na mambo mengi MNO...mnaumizwa kwa miezi kadha wa kadha af mnapozwa kwa miezi kadhaa....ULIMBO HUU bwana Migulu kashakaa kuseti majambo😄😅
mimi mmoja wapo nitaenda mpigia kura samia na mbunge wangu luhaga mpinaKuna watu wajinga wataenda kupiga kura na kuichagua CCM. Nchi hii inahitaji watu wajitambue kwanza kisha ndiyo kuwepo na vyama vya upinzani.
Bora hata sina hiyo card… niepuke lawama za jumla jumla kama hizi.Kuna watu wajinga wataenda kupiga kura na kuichagua CCM. Nchi hii inahitaji watu wajitambue kwanza kisha ndiyo kuwepo na vyama vya upinzani.
Wewe ni mjinga mmoja wapo,au sijaelewamimi mmoja wapo nitaenda mpigia kura samia na mbunge wangu luhaga mpina
Kwahiyo wewe ni mwerevu,Kuna watu wajinga wataenda kupiga kura na kuichagua CCM. Nchi hii inahitaji watu wajitambue kwanza kisha ndiyo kuwepo na vyama vya upinzani.
kwa hiyo kukipigia kura chama usichokitaka wewe ni ujinga na kutojitambua?Kuna watu wajinga wataenda kupiga kura na kuichagua CCM. Nchi hii inahitaji watu wajitambue kwanza kisha ndiyo kuwepo na vyama vya upinzani.
Sasa kama Chama kinaweza kushinda hata kabla ya uchaguzi we unaona ni sawa? Mtu tayari anasema "kwenye zile nafasi zangu 10", "Mkurugenzi atakaye tangaza chama tofauti na CCM kimeshinda nitamtimua"Kwahiyo wewe ni mwerevu,
Labda kitu ambacho hujui ni kwamba CCM itashinda bila hata kuipigia kura
Unapigaje kura ambayo haitajumlishwa kwenye matokeo halali ya uchaguzi, ama unaenda kupoteza muda!kwa hiyo kukipigia kura chama usichokitaka wewe ni ujinga na kutojitambua?
ingawa hujanijibu...umenipa tena sababu ya kukuuliza swali jingine KWANI KURA HUWA NA MAJINA YA ALIYEPIGA? unajuaje haita au haijajumlishwa?Unapigaje kura ambayo haitajumlishwa kwenye matokeo halali ya uchaguzi, ama unaenda kupoteza muda!
utaonaje na umefumba machoMimi mbona sijaona
Haina majina, haitajumlishwa kwasababu tume "itapika" matokeo ya uchaguzi. Hivi ni mtanzania gani mwenye akili timamu anaweza kumchagua Babu tale, Joseph Msukuma kuwa Mbunge?ingawa hujanijibu...umenipa tena sababu ya kukuuliza swali jingine KWANI KURA HUWA NA MAJINA YA ALIYEPIGA? unajuaje haita au haijajumlishwa?
Mkuu hapo ni sawa na kula wali kwa mboga ya mihogo!mimi mmoja wapo nitaenda mpigia kura samia na mbunge wangu luhaga mpina