Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Theme ya kusema anajuta kuwa raisi ni nini?
Nyerere alisema, ikulu ni mahali patakatifu je alikuwa mtakatifu?

Raisi mwema ni yule anae umia kwa matatizo ya wananchi wake, na kwa kusema yale inatuaminisha kuwa anajua shida na kero zetu, bahati mbaya hawezi kuzitatua kwa mara moja maana kuna watu wa aina yako wasio na jema /wasio jua wanataka nini wengi sana kiasi cha kupinga kila alifanyalo.

Binafsi nimemuelewa alicho kizungumza na nitamsapoti kama binadam wengine.

Ukisoma maandiko kichwa kichwa utaishia kupotea maana uandishi uliotumika unahitaji uelewa usio na mawia.

Don't be pessimist meeeen.
MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU. KUNA STORY YA BIBLE YA GALIATH AND DAVID NDIYO HAPO RAISI WETU YUPO.
 
Is it? Mtu yeyeto madhubuti akiona madhila ya Wanzazibari wang'wana, wachamungu lazima kujuta tuu hasa baada ya kuwatupa mkono. Zanzibaris deserve better. Huo ndio ukweli.
[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
kwa sisi kina gogo la shamba tumesikitika sana pale Maku aliposema kwamba,eti na makao makuu ya Tucta yaamie kwanza Dodoma ili aone mfano, utadhani kwamba tucta ndio walioshauri makao makuu kuamia Dodoma
 
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.
Nikweli kwa bahati mbaya kazi inakuwa ngumu au yaweza kuwa ngumu pale unapojikuta ukigusa kufumua hapa au pale jipu limekaa pabaya so njia pekee inakuwa ni kutumia njia za kienyeji kwa kutafuna majani ya muarobaini na kubandika juu ya jipu ili linyauke lenyewe kwa amani.
Majipu yamegawanyika kunayale ya kupiga hela za miradi na yaukwepaji KODI haya kupiga yanadhibitika bila kuleta athari la Kodi linahitaji kulitazama kwa kina zaidi ili tiba yake ilete neema kwa wote.
 
MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU. KUNA STORY YA BIBLE YA GALIATH AND DAVID NDIYO HAPO RAISI WETU YUPO.
It takes a lot of faith to beat the Goliath.

Raisi ana changamoto ya mfumo usio ruhusu utendaji makini, mfumo ujanja ujanja.
 
Hahaaa hizi siasa hizi Kusema hivo tu upande wa pili umeishapata cha kuongea
 
Nikweli kwa bahati mbaya kazi inakuwa ngumu au yaweza kuwa ngumu pale unapojikuta ukigusa kufumua hapa au pale jipu limekaa pabaya so njia pekee inakuwa ni kutumia njia za kienyeji kwa kutafuna majani ya muarobaini na kubandika juu ya jipi ili linyauke lenyewe kwa amani.
Majipu yamegawanyika kunayale ya kupiga hela za miradi na yaukwepaji KODI haya kupiga yanadhibitika bila kuleta athari la Kodi linahitaji kulitazama kwa kina zaidi ili tiba yake ilete neema kwa wote.
Asante sana kwa kunielewa.
 
kwa sisi kina gogo la shamba tumesikitika sana pale Maku aliposema kwamba,eti na makao makuu ya Tucta yaamie kwanza Dodoma ili aone mfano, utadhani kwamba tucta ndio walioshauri makao makuu kuamia Dodoma
Mkuu suala la kuhamia Dodoma lina challenge hata hivyo sidhani kama ni kipaumbele sanaa.
 
Hakuwa tayari ni kweli kabisa hata aliyofanya kwenye kampeni yanadhihirisha alichukuliwa mwishowe kabisa baada ya kuona nguvu ya EL kisha ukasukwa mpango wa wizi wa kura the rest kinajulikana kilichotokea. ...haya maneno atayaongea tena n tena

Mmmmmmmm "nilijuwa tu" mko wengi sanaaaaa
 
Mmmmmmmm "nilijuwa tu" mko wengi sanaaaaa
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.
 
Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!

Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-
anajuta sababu anafanya kazi kwa LILAHI na kuwaweka watumishi wa tz kwa kufanya kazi kwa nidhamu ni kazi kwelikweli
 
Urais sio nafasi ya kupewa huku ukiwa hujajiandaa nayo. Ni lazima mambo yaharibike. Ni wakati wa kusubiri na kuona.

Ova
 
Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo kuhusu hiyo kauli? Kauli kama hizo hazihitaji hangover za ushabiki wa vyama kuzichambua utaishia kuchukua neno na kutoka mbio kusemea kwa members wa mitandao ya kijamii

kama kauli hii ya mwenzio anaejiita jingalao

Hamisheni makao makuu kutoka ufipa na
kuyapeleka dodoma !!
 
Hamisheni makao makuu kutoka ufipa na kuyapeleka dodoma !!

MSOME M-CCM MWENZIO HAPO CHINI

Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo kuhusu
hiyo kauli? Kauli kama hizo hazihitaji hangover za
ushabiki wa vyama kuzichambua utaishia kuchukua
neno na kutoka mbio kusemea kwa members wa
mitandao ya kijamii
 
Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!

Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-
Mungu anisamehe!!
Mtu aliyekaa ndani ya baraza la mwaziri chini ya marais wawili anashindwaje kujua changamoto zinazohusiana na Urais?Mtu aliyefanya kampeni kwa gari kuzunguka nchi nzima kweli alikuwa hajui anachokigombea?
Mtu alipanda juu ya paa la gari na kupiga push up jukwani kweli alikuwa hauui mzigo wa U rais?
Mheshimiwa Rais kama unaona umekosea vumilia au utue mzigo.Usilalamike tena hadharani kwa hili.
 
Hii sasa ni mara ya pili. Mara ya pili kuambiwa au kusikia kuwa Mhe. Rais anajuta kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais. Mara ya kwanza watanzania waliambiwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Ilikuwa kanisani,kanisa katoliki la Mtakatifu Petro. Kardinali Pengo alisema kuwa alizungumza na Rais Magufuli kwa njia ya simu akiwa Chato,Geita. Pamoja na mambo mengine,Rais akajuta kuwa Rais. Wakati Kardinali Pengo akifichua hilo,Rais Magufuli alikuwemo kanisani humo kuhudhuria ibada ya misa takatifu.

Mara ya pili ya kujuta ni jana. Mhe. Rais,alipokuwa akihutubia kilele cha Mei Mosi,alitamka na kusikika kuwa anajuta kuwa Rais. This is very serious. Inajulikana kuwa asingejuta kama angekuwa amejiandaa na kuutaka Urais. Asingejuta kama angeamua kugombea Urais kwa hiyari yake.

Ni muda wa kuwaambia watanzania,nani alimlazimisha Rais kugombea? Ni kwa malengo gani? Ili kutojuta zaidi,namshauri Rais kutogombea Urais mwaka 2020!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom