Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Mbona wakati wa kampeni alikuwa anasema anazijua shida za watanzania na hstswaangusha. Hata jana alirudia kusema hatawaangusha wafanyakazi. Hii ya kusema anajuta kuwa rais ni geresha tu. He is trying to make an impression!
Alternatively inawezekana anapata shida kutekeleza majukumu yake ya kupambana na ufisadi kwa ssbabu mafisadi wapo ktk chama chake na kila anapogusa anajikuta amegusa mwanachams maarufu. Yaani amejikuta kstika mazingira ya kutamani kukata tawi alilokalia. Ndiposa ameshtuka kwamba akilikata hili tawi na yeye anaweza kwenda na maji! Kimsingi huo ndio ugumu Magu anaokutana nao leo hadi kuishia kutos kauli za kukata tamaa!
 
anampigania mnyonge kwa kuogopa kutumbua escrow,iptl,egma,mv dar,eti!

tunafaidika kwa mengi!moja wapo ni mie na familia yangu kushangilia kwa kunywa soda leo hii!
afu punguza kulia,huu mchezo hautaki hasira!
inakufaidishaje? maana anakuwa rais kwa miaka 5 hata kama akiongoza vibaya, so uta lose tu
 
Juzi tu kamsifia dau kwa kazi kubwa ya aliyoifanya kwenye daraja la nyerere leo amawaambia wanaelekeza pesa kwenye mambo ya ajabu ajabu ikiwepo madaraja badala ya viwanda........
Ni ukweli usiopingika kwamba kuna tatizo kubwa sana kuhusu miradi ambayo mifuko ya hifadhi inawekeza fedha zake. Kimsingi mifuko ya jamii Trust ambazo zinaweka fedha za wafanyakazi" in trust" . Lakini wao wamegeuka wawekezaji kwenye real estates, ambazo end of the day haziingizi fedha za kutosha kwenye mifuko hiyo
 
Watanzania tuna matope kichwani, haki ya nani!

Mungu turehemu.... Tutajifunza lini kuchambua hoja? Yani katika hotuba yote umeona hili ndio la kulileta hapa?
 
Anajuta maana akitaka kutumbua makando kando wanamwambia hapo hapa Mstaafu amejificha hapo!Grand deals zote ambazo zingempa mileage zote hataweza kuzigusa!kuna haja gani ya kuwa rahisi usiyekuwa na nguvu kutumbua uozo? Kisa kulinda aliepita?
jamaa hamna kitu ni wale wale tu
 
Kwani kuna sehemu nimeandika nautaka urais hadi nipewe?
Ukweli ni kwamba huyu ofisi hii anapwaya, haiwezi na hataiweza, amepewa majukumu makubwa kuliko uwezo wake.
Sasa mbona unahukumu hauwezi ilihali wewe hata huutaki achilia mbali kuuweza?
 
Kwa Rais muadilifu chapa kazi na mwenye uchungu na nchi yake kama Mh Magufuli Urais siyo kazi ya kitoto,akili asikili hadharani hilo linajulikana.Kwa sababu kuna mafisdi yamezoea kufisdi nchi inapotokea milija yao inakatwa..hawafurahi hata kidogo hivyo watafanya kila liliro ndani ya uwezo wao kukwamisha.Mungu akutangulie Mh Rais najivunia kuwa na Rais kama wewe mwenye uchungu wa kuleta maisha bora kwa wananchi wako.
 
Miaka mitano ya Magufuli tutaona sinema za ajabu.
 
Magufuli inabidi aandaliwe na kuelezwa kama rais maneno gani anaweza kusema na maneno gani hatakiwi kusema hata kama ni kweli.

Ulisikiliza ile hotuba alioitoa siku ya kitaifa ya mahakama?

Ni muendelezo wa hotuba mbovu.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kauli ya mwalimu na hii!
Nyie watu mnashangaza sana, Hivi sifa ya kuwa Rais ni kujiandaa au kufaa?
Halafu mnashindwa hata kurecall kauli za Baba wa taifa, hata yeye aliona urais ni mzigo mkubwa sana hasa kwa watu waaminifu, na aliwahi kusema "watu waaminifu hawakimbilii ikulu .... ukiona mtu anakimbilia na fedha anatumia, ni wa kuogopa kama ukoma ..." JPM ni mwaminifu kwa nchi yake, kwa nini asione/ asijute kuongoza watu wenye akili za kupiga dill tu na sio kuhudumia watu? au nawe ni mpigaji nini?
 
Kama ni Kweli alikuwa hajui Tz ilifikia wapi basi hakujiandaa! HIVI UNAFIKIRI KWA NINI WATU WALIKYWA TAYARI KUPIGIA KURA JIWE?
Hakuna tatizo mara nyingi sana katika maisha hutokea,, unafikiri unaweza kuota huko kukoje? Kuna Tajiri mmoja aliwahi nambia najuta kuwa tajiri, unaweza ukadhani anatamania kila jambo lina faida zake na hasara zake, Ukizingatia Raisi huyu alikuja na moyo tofauti na mfumo uliopo. Mfumo ulikuwa unatoa nafasi ya kujijenga mwenyewe yeye kaja na mfumo anotaka ajenge na za wengine na uweke uwajibikaji, usawa, apunguze gap la walionacho na wasio nacho hapo hapo anatamani tuwe kama china kwa miezi michache aliyokaa. Ana waza vitu vikubwa zaidi kuliko muda uliopo, kila sehemu kumevurugika hajui aweke priority ipi na ipi kwanza labda italeta nafuu.
 
Ulisikiliza ile hotuba alioitoa siku ya kitaifa ya mahakama?

Ni muendelezo wa hotuba mbovu.
Mnataka hotuba za kuwafulahisha mtasubili sana kwa magu hakuna,labda nendeni msoga kule mtazipata zile za kula nawe uliwe!
 
Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!

Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-
Asigombee msimu ujao
 
Back
Top Bottom