daah bibi nawe uko bize kweli= kutafakari
Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!
Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-
Unataka asemaje sasaKuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!
Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-
Ha haJuzi tu kamsifia dau kwa kazi kubwa ya aliyoifanya kwenye daraja la nyerere leo amawaambia wanaelekeza pesa kwenye mambo ya ajabu ajabu ikiwepo madaraja badala ya viwanda........
Kamanda Umehudhuria mei mosi?Ndio maana tunaishi kwa matamko
Mkuu sikupata nafasi ya kuwepoKamanda Umehudhuria mei mosi?
Kwani vepeee? Nasikia mmeongezewa poshoWacha uongo wewe kauli gani hii
Labda kaisema lowassa
Ahahaha,ila ni nini?Nimesikia pia na still sio kosa piaa
ahahaha,endelea kuamisha magoliTatizo liko wapi, kwani ww haujawahi fanya maamuzi ambayo baadae unakuja jilaumu.
Anaona mzigo ulioko mbele yake ni mzito
ahahahaTatizo liko wapi, kwani ww haujawahi fanya maamuzi ambayo baadae unakuja jilaumu.
Anaona mzigo ulioko mbele yake ni mzito
Unafuraaaahii... Hivi lile gwiji la sanaa Tz lenye nywele nyeupe lingeweza kazi kama aliyoifanya Pombe?Kamanda Umehudhuria mei mosi?
Ha ha
Alikuwa anataniaHakuwa tayari ni kweli kabisa hata aliyofanya kwenye kampeni yanadhihirisha alichukuliwa mwishowe kabisa baada ya kuona nguvu ya EL kisha ukasukwa mpango wa wizi wa kura the rest kinajulikana kilichotokea. ...haya maneno atayaongea tena n tena
Sina shaka na MTU, siishi kwa hisani ya MTU, kwann nisifurahi ili hali nina afya, mziki Wa gwiji LA siasa za Tanzania nadhan waujua vema sina haja ya kueleza, ndio sababu CCM ikisikia jina lake tu, mnatetemekaUnafuraaaahii... Hivi lile gwiji la sanaa Tz lenye nywele nyeupe lingeweza kazi kama aliyoifanya Pombe?
Sawa kamanda Mapambano yanaendeleaMkuu sikupata nafasi ya kuwepo
anampigania mnyonge kwa kuogopa kutumbua escrow,iptl,egma,mv dar,eti!Ww ni ngombe huna ulijualo zaid ya ushabiki kama inzi kwenye mzoga, jiulize kwann sokoine alikufa kifo cha utata na ilikuwa kwann, fuatilia vifo vya akina malcom x, John kennedy,..
Uongozi unakuja kuwa magumu pale unapompigania mnyonge na kumbana aliyenacho na ndio hapo hata uliyekuwa unamwona ndg yako au rafki yako anakuwa adui yako, lakn ukiwa na akili kama yako utasema hakujipanga ungemleta mamaako basi yeye si ndio akijipanga
tunafaidika kwa mengi!moja wapo ni mie na familia yangu kushangilia kwa kunywa soda leo hii!hiki sio kitu cha kushangilia wadau, hata kama hukumchagua
utafaidika nini ukiwa na rais dhaifu?
siasa zimetuathiri namna hii hadi tunafurahia habari kama hizi?
Heshima kwako mkuu, tatizo la nchi ni UJINGA, MARADHI na UMASKINI. Iko hivyo tangu enzi za Julius na ili tutoke hapo tunahitaji mambo manne tu. WATU, ARDHI, SIASA SAFI na UONGOZI BORA.Magufuli kautazama Urais kwa kupitia Kikwete na Mkapa
kamuona Kikwete alikuwa mzembe
anafikiri Mkapa alikuwa perfect
tatizo challenges anazokutana nazo ni mpya...
ambazo hata Kikwete na Mkapa hatujui wangewezaje...
ndo maana ya 'kujuta' kunakuja