Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,630
10,243
Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!

Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-
 
Ukiwa mwepesi kichwan na kama hujawahi kupambana na mtu kwa kumng'oa mtu kwenye himaya yake jinsi mtiti unavyokuwa ndio unaweza kuyaongea kama haya unayoongea.. Hilo lipo dunian kote na ktk mataifa yote..
 
Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! senene walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya...kwa maneno yake ."alikuw a anabeep! :-
Hakuwa tayari ni kweli kabisa hata aliyofanya kwenye kampeni yanadhihirisha alichukuliwa mwishowe kabisa baada ya kuona nguvu ya EL kisha ukasukwa mpango wa wizi wa kura the rest kinajulikana kilichotokea. ...haya maneno atayaongea tena n tena
 
Ukiwa mwepesi kichwan na kama hujawahi kupambana na mtu kwa kumng'oa mtu kwenye himaya yake jinsi mtiti unavyokuwa ndio unaweza kuyaongea kama haya unayoongea.. Hilo lipo dunian kote na ktk mataifa yote..
Hayaa hao sasa badala ya kujadili hoja wameanza kujadili maumbile ya mtoa mada.
 
mtoa uzi, hivi hujui kuwa jamaa alichukua form kubipu tu? huyu jamaa alitembelea nyota ya NgOYAI, NA Kamirius, Membe?

mimi si shangai, kbsa walio jindaaa kuwa mapresedent nchii ni LOWASA pekee, ila wengine walikuwa wanabipu, tusubiri maka 2020, ili tuheshimiane vyema.
 
John Joseph Pombe Magufuli hakutaka wala hakuwazia kuwa Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania. Wiki ya Mwisho ya May 2015 kama sijakuosea alienda kukagua Maendeleo ya Daraja la Kigamboni akasema anataka liishe na lizinduliwe na Dr. Jakaya ili asije Rais mwingine akajifanya yeye ndie kalijenga!!!!

Siku Dr. JAKAYA akimtambulisha Rasmi kuwa Mgombea wa Chama July 12, 2015 Dodoma anasema yeye( Jakaya) ndie aliemwambia JPM akachukue form za Urais nae Magufuli akamuuliza atatosha? JK akamwambia kachukue kutosha au kutokutosha kwako itajulikana Dodoma. Dr. Magufuli hakujiandaa kuwa Rais ni jambo la wazi na hilo linaweza kuwa jambo litakalomsaidia kufanya vizuri, ukijiandaa unakuwa na Makundi mengi sana yanayokusaidia yakitegemea fadhila, makundi hayo yamemsumbua sana JK.
 
Juzi tu kamsifia dau kwa kazi kubwa ya aliyoifanya kwenye daraja la nyerere leo amawaambia wanaelekeza pesa kwenye mambo ya ajabu ajabu ikiwepo madaraja badala ya viwanda........
nimesikitika sana,inwardly inaweza kufikiria hivyo,lakini ukiwa hewani unatakiwa ujipange
 
Back
Top Bottom