Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! senene walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya...kwa maneno yake ."alikuw a anabeep! :-

Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo kuhusu hiyo kauli? Kauli kama hizo hazihitaji hangover za ushabiki wa vyama kuzichambua utaishia kuchukua neno na kutoka mbio kusemea kwa members wa mitandao ya kijamii
 
Naona hii itakuwa mada ya mwezi mzima...... ." matukio at work"
 
Nasubiri senene na viwavi,waje wabishe na kutusi...si unajua ..kipimo chetu kwa viongozi ni cha chini mno!Elimu iliishia walipofaulu mitihani tu!
Ww ni ngombe huna ulijualo zaid ya ushabiki kama inzi kwenye mzoga, jiulize kwann sokoine alikufa kifo cha utata na ilikuwa kwann, fuatilia vifo vya akina malcom x, John kennedy,..

Uongozi unakuja kuwa magumu pale unapompigania mnyonge na kumbana aliyenacho na ndio hapo hata uliyekuwa unamwona ndg yako au rafki yako anakuwa adui yako, lakn ukiwa na akili kama yako utasema hakujipanga ungemleta mamaako basi yeye si ndio akijipanga
 
Juzi tu kamsifia dau kwa kazi kubwa ya aliyoifanya kwenye daraja la nyerere leo amawaambia wanaelekeza pesa kwenye mambo ya ajabu ajabu ikiwepo madaraja badala ya viwanda........

Mlishaambiwa msiwaamini wanasiasa
 
HONGERA MKUU KWA KUJIBU KWA HOJA ...LAKINI MAJUKUMU YA UEAIS YABAHITAJI MTU AMBAYE AMEJIANDAA NA ANA MAONO ...NI NGUMU SANA HADI MEI HUJUI KSMA OKTOBA UNABEBA MZIGO MZITO KAMA HUU !
John Joseph Pombe Magufuli hakutaka wala hakuwazia kuwa Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania. Wiki ya Mwisho ya May 2015 kama sijakuosea alienda kukagua Maendeleo ya Daraja la Kigamboni akasema anataka liishe na lizinduliwe na Dr. Jakaya ili asije Rais mwingine akajifanya yeye ndie kalijenga!!!!

Siku Dr. JAKAYA akimtambulisha Rasmi kuwa Mgombea wa Chama July 12, 2015 Dodoma anasema yeye( Jakaya) ndie aliemwambia JPM akachukue form za Urais nae Magufuli akamuuliza atatosha? JK akamwambia kachukue kutosha au kutokutosha kwako itajulikana Dodoma. Dr. Magufuli hakujiandaa kuwa Rais ni jambo la wazi na hilo linaweza kuwa jambo litakalomsaidia kufanya vizuri, ukijiandaa unakuwa na Makundi mengi sana yanayokusaidia yakitegemea fadhila, makundi hayo yamemsumbua sana JK.
 
Juzi tu kamsifia dau kwa kazi kubwa ya aliyoifanya kwenye daraja la nyerere leo amawaambia wanaelekeza pesa kwenye mambo ya ajabu ajabu ikiwepo madaraja badala ya viwanda........
Hii ndiyo sihasa
 
Magufuli kautazama Urais kwa kupitia Kikwete na Mkapa
kamuona Kikwete alikuwa mzembe
anafikiri Mkapa alikuwa perfect

tatizo challenges anazokutana nazo ni mpya...
ambazo hata Kikwete na Mkapa hatujui wangewezaje...

ndo maana ya 'kujuta' kunakuja
 
hiki sio kitu cha kushangilia wadau, hata kama hukumchagua
utafaidika nini ukiwa na rais dhaifu?
siasa zimetuathiri namna hii hadi tunafurahia habari kama hizi?
 
Is it? Mtu yeyeto madhubuti akiona madhila ya Wanzazibari wang'wana, wachamungu lazima kujuta tuu hasa baada ya kuwatupa mkono. Zanzibaris deserve better. Huo ndio ukweli.
 
John Joseph Pombe Magufuli hakutaka wala hakuwazia kuwa Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania. Wiki ya Mwisho ya May 2015 kama sijakuosea alienda kukagua Maendeleo ya Daraja la Kigamboni akasema anataka liishe na lizinduliwe na Dr. Jakaya ili asije Rais mwingine akajifanya yeye ndie kalijenga!!!!

Siku Dr. JAKAYA akimtambulisha Rasmi kuwa Mgombea wa Chama July 12, 2015 Dodoma anasema yeye( Jakaya) ndie aliemwambia JPM akachukue form za Urais nae Magufuli akamuuliza atatosha? JK akamwambia kachukue kutosha au kutokutosha kwako itajulikana Dodoma. Dr. Magufuli hakujiandaa kuwa Rais ni jambo la wazi na hilo linaweza kuwa jambo litakalomsaidia kufanya vizuri, ukijiandaa unakuwa na Makundi mengi sana yanayokusaidia yakitegemea fadhila, makundi hayo yamemsumbua sana JK.
Nakubaliana na wew kwa asilimia zote.Pipoz warejee alichokisema mwapachu kwamba aliahidiwa uwazir wa mambo ya nje kama el akishinda.
Huyu ambae hakujiandaa ndie tunaemtaka maana hana ubia na mtu.
 
Ogooa sana kupambana na adui aliye ndani ya nyumba yako mwenyewe! Hata mm namwonea huruma. Lkn mapambano hayo ndiyo yatakayompa sifa
 
Ukiona mtu anasema hivyo, huyo ndo mtu sahihi kabisa. Yy aendelee tu sis humu, (mim binafsi) nakerwa na ccm tu, na kauli zao. Majipu yasiyotumbuka aachane nayo. Cha msingi pale BOT adhibiti capital outflow, hela iliyoko ndani tutaipata tu.
 
watu tunajuta kuzaliwa aje awe mtu kujuta kuwa Rais
Na sijawahi sikia kwa nchi yetu ambaye hajawahi kujuta kwenye hiyo post kuanzia baba wa taifa hadi huyu wa leo. na bado wakakomaa kutekeleza majukumu yao
 
Tatizo liko wapi, kwani ww haujawahi fanya maamuzi ambayo baadae unakuja jilaumu.

Anaona mzigo ulioko mbele yake ni mzito
Tatizo kila kauli wanataka waichukulie kisiasa, unaweza ukawa Muhasibu na kuna vitu vikakutokea kazini UKAJUTA Kwanini ulisomea kazi hiyo, Hata MKE na MUME kuna mambo hutokea hukufanya ujute kwanini ulioa (HII KWA BAADHI), Sasa kama binadam ambao ni muoga kwa Mungu na mpenda haki kujuta ni jambo la kawaida. hasa kwa nchi kama hii ilojaa majipu kila kona, inaumiza kichwa, yeye ni binadamu ana moyo sio roboti usidhani kila jipu analishangilia moyoni, huwa anaumia pia, lakini lazima afanye hayo ili haki ipatikane, TUNAMUOMBEA, MUNGU ATAMPA NGUVU ATAMALIZA MUDA WAKE SALAMA NA NCHI ITAKUWA NZURI NA SALAMA KUISHI.
 
Back
Top Bottom