Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Halimbaya Viroba sio dili kijana
86183d97afa9d91def9a40a77a07cd34.jpg
Hivyo viroba wanavinywa wana wa mwandiga
 
Familia moja tu ndiyo inayosababisha matatizo yote ya nchi hii!
 
!
!
Maono muhimu sana. Huyu Bwana kakosa maono, ikafatiwa na kukosa vipaumbele kitu ambacho kinapelekea kukosekana kwa mipango na mikakati ya nini kifanyike ili iweje. Tumhurumie tu
 
John Joseph Pombe Magufuli hakutaka wala hakuwazia kuwa Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania. Wiki ya Mwisho ya May 2015 kama sijakuosea alienda kukagua Maendeleo ya Daraja la Kigamboni akasema anataka liishe na lizinduliwe na Dr. Jakaya ili asije Rais mwingine akajifanya yeye ndie kalijenga!!!!

Siku Dr. JAKAYA akimtambulisha Rasmi kuwa Mgombea wa Chama July 12, 2015 Dodoma anasema yeye( Jakaya) ndie aliemwambia JPM akachukue form za Urais nae Magufuli akamuuliza atatosha? JK akamwambia kachukue kutosha au kutokutosha kwako itajulikana Dodoma. Dr. Magufuli hakujiandaa kuwa Rais ni jambo la wazi na hilo linaweza kuwa jambo litakalomsaidia kufanya vizuri, ukijiandaa unakuwa na Makundi mengi sana yanayokusaidia yakitegemea fadhila, makundi hayo yamemsumbua sana JK.
Nimependa hitimisho lako. Very positive. Tumwombee raisi ageuze hicho kinachoweza kuonekana kuwa weakness kiwe strength!
 
Mkuu The Boss all challenges anazoziface Dr. Magu sio mpya,labda suala la wafanyakazi wageni kuchukua nafasi ambazo zingewastahili Wazawa wa Tanzania. Lakini masuala ya:-

-Ufisadi mkubwa kila sekta na kulindana

-Ukwepaji kodi

-Watumishi hewa (Kwenye taasisi na mashirika ya umma)

- Watumishi wenye elimu ya magumashi

Yooote hayo yalikuwepo ila serikali zote za CCM zilizopita zililea hayo na Pia huyu jamaa HAKUJIANDAA na ni ngumu kuyashuhulikia hayo kwasababu atawagusa waliomweka hapo na ANAOGOPA HILO.


Ni mpya kwa maana yeye anataka kuzitatua
wenzie waliamua kuzichunia
ni mpya pia kwa kuwa yeye alikuwa waziri wa ujenzi only
hakuwahi kuwa waziri mkuu mfano..mtu wa ku face mambo tofauti daily

alizoea kufanya kazi moja..sasa anatakiwa kufanya kazi wizara zote

kwa maana hiyo ana face 'new challenges'
 
Kuongoza watu ambao ni "much know" kwa kila kitu ni shida sana.
 
Hii mara ya pili anayarudia haya majuto. Eti angejua asingechukua fomu ys kugombea.Yaani yeye aliona utitiri wa wanaccm wakichukua fomu naye kaunga trela bila kujua uzito wa majukumu yatakayokuwa mbele yake? Kwa yeye alikuwa mgeni hapa nchini?
 
Back
Top Bottom