We ukipewa unatosha?I said, the office of the president of United Republic of Tanzania is too big for this guy.
Ni heri mara mia mtu ambaye hakujiandaa ili katika trials and errors zake kitu kipya kinaweza patikana kuliko kundi lilojiandaa kuendeleza business as usual hata ningekuwa Mimi ningeshangaa watu wanaongea mpaka jasho majukwaani wakijenga hoja juu ya jambo fulani Rais anapotekeleza yaleyale wanarudi tena kumpinga.John Joseph Pombe Magufuli hakutaka wala hakuwazia kuwa Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania. Wiki ya Mwisho ya May 2015 kama sijakuosea alienda kukagua Maendeleo ya Daraja la Kigamboni akasema anataka liishe na lizinduliwe na Dr. Jakaya ili asije Rais mwingine akajifanya yeye ndie kalijenga!!!!
Siku Dr. JAKAYA akimtambulisha Rasmi kuwa Mgombea wa Chama July 12, 2015 Dodoma anasema yeye( Jakaya) ndie aliemwambia JPM akachukue form za Urais nae Magufuli akamuuliza atatosha? JK akamwambia kachukue kutosha au kutokutosha kwako itajulikana Dodoma. Dr. Magufuli hakujiandaa kuwa Rais ni jambo la wazi na hilo linaweza kuwa jambo litakalomsaidia kufanya vizuri, ukijiandaa unakuwa na Makundi mengi sana yanayokusaidia yakitegemea fadhila, makundi hayo yamemsumbua sana JK.
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.I said, the office of the president of United Republic of Tanzania is too big for this guy.
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.Ni heri mara mia mtu ambaye hakujiandaa ili katika trials and errors zake kitu kipya kinaweza patikana kuliko kundi lilojiandaa kuendeleza business as usual hata ningekuwa Mimi ningeshangaa watu wanaongea mpaka jasho majukwaani wakijenga hoja juu ya jambo fulani Rais anapotekeleza yaleyale wanarudi tena kumpinga.
Kila kitu kina mwanzo with time atapata melody na Song litakamilika kwasasa anajaribu kutyuni nyuzi za gitaa ni kweli haitakuwa rahisi kwetu RAIA na kwake pia suala la msingi ni yeye kujikita ktk mambo ambayo ni vyanzo vikuu vya matatizo ya kimaisha ambayo yanasumbua wananchi kwa ujumla.
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.Rais JPM... katurushia mpira sisi waTZ !! ili tujitambue....
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.John Joseph Pombe Magufuli hakutaka wala hakuwazia kuwa Rais wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania. Wiki ya Mwisho ya May 2015 kama sijakuosea alienda kukagua Maendeleo ya Daraja la Kigamboni akasema anataka liishe na lizinduliwe na Dr. Jakaya ili asije Rais mwingine akajifanya yeye ndie kalijenga!!!!
Siku Dr. JAKAYA akimtambulisha Rasmi kuwa Mgombea wa Chama July 12, 2015 Dodoma anasema yeye( Jakaya) ndie aliemwambia JPM akachukue form za Urais nae Magufuli akamuuliza atatosha? JK akamwambia kachukue kutosha au kutokutosha kwako itajulikana Dodoma. Dr. Magufuli hakujiandaa kuwa Rais ni jambo la wazi na hilo linaweza kuwa jambo litakalomsaidia kufanya vizuri, ukijiandaa unakuwa na Makundi mengi sana yanayokusaidia yakitegemea fadhila, makundi hayo yamemsumbua sana JK.
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.Mbona Mwalimu Nyerere aliwai sema Urais ni mzigo mzito, je na yeye alikua hajajiandaa kua Rais..
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.Kuna raha gani kuongoza li nchi lililooza kama hili, ukitaka kuliinyoosha inatokea mijitu mipuuzi kutetea uozo...ukikaa kimya inalalamika kuwa unalea uozo.
Si Bora kuchunga Ng'ombe tu.!
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.mtoa uzi, hivi hujui kuwa jamaa alichukua form kubipu tu? huyu jamaa alitembelea nyota ya NgOYAI, NA Kamirius, Membe?
mimi si shangai, kbsa walio jindaaa kuwa mapresedent nchii ni LOWASA pekee, ila wengine walikuwa wanabipu, tusubiri maka 2020, ili tuheshimiane vyema.
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.Hayaa hao sasa badala ya kujadili hoja wameanza kujadili maumbile ya mtoa mada.
sasa wewe Lowassa na mkwe wake ndiyo ulitaka waichukue hii nchi. Acha bwana RAISI POMBE MAGUFULI YUPO NA MUNGU WAKE. KUNA WATU AMBAO TUNAMUWEKA MIKONONI MWA MUNGU KWANI ANAKAZI YAKUPAMBANA NA MAFISADI WALIOKUBUKA.mtoa uzi, hivi hujui kuwa jamaa alichukua form kubipu tu? huyu jamaa alitembelea nyota ya NgOYAI, NA Kamirius, Membe?
mimi si shangai, kbsa walio jindaaa kuwa mapresedent nchii ni LOWASA pekee, ila wengine walikuwa wanabipu, tusubiri maka 2020, ili tuheshimiane vyema.
NA KWELI JAMANI INATIA HURUMA NA HASIRA SIJUI HATA WANANCHI WATAMSAIDIAJE? NCHI YA TANZANIA IMEOZA KWA UFISADI LAKINI MUNGU WA REHEMA ATAMTIA NGUVU NA KUMUWEZESHA ILI AWEZE KUENDELEA MBELE. WAPINZANI NI WATU WA CHAMA CHA MAFISADI CHA LOWASSA ALISHA KINUNUA SIKU NYINGI NA KWA HIYO NI KAZI SANA KUMPAMBANA NA HAWA WATU. ILI MUNGU WA AMANI NA WA HAKI ATAMPA HEKIMA NA KUMUWEZESHA.Inabidi ashauriwe asikiri kushindwa. viongozi wadini msaidieni rais!
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.Tatizo liko wapi, kwani ww haujawahi fanya maamuzi ambayo baadae unakuja jilaumu.
Anaona mzigo ulioko mbele yake ni mzito
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO."Nimehemewa"
Hiyo kauli yake ya kwanza kabisa kudhihirisha alibebeshwa jukumu asiloliweza na hakujiandaa kulibeba.
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.kidogokidogo tunamgwaya
Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.Nimesikia pia na still sio kosa piaa
MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU. MAGU NI KAMA MFANO WA GALIATH AND DAVID. LAKINI MWISHO WA SIKU ATASHINDA VITA ILIYO MBELE YAKE. MUNGU WA HAKI NA AMANI ATAMUWEZESHA.Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!
Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-