Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Kwa sababu anafanya kazi lakini kwa MAFISADI wengine ingekuwa kazi raisi sana. FISADI KAMA LOWASSA INSINGEMPA SHIDA KAZI HII YA URAISI HATA KIDOGO. EE MUNGU WA REHEMA MLINDE MJA WAKO NA UMPE AMANI YA KWELI ITOKAYO KWAKO.
alianza kwa kusema niomben niomben leo anajuta kesho atasema tulifanya makosa kumpora lowasa ushindi wake
 
Hii sasa ni mara ya pili. Mara ya pili kuambiwa au kusikia kuwa Mhe. Rais anajuta kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais. Mara ya kwanza watanzania waliambiwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Ilikuwa kanisani,kanisa katoliki la Mtakatifu Petro. Kardinali Pengo alisema kuwa alizungumza na Rais Magufuli kwa njia ya simu akiwa Chato,Geita. Pamoja na mambo mengine,Rais akajuta kuwa Rais. Wakati Kardinali Pengo akifichua hilo,Rais Magufuli alikuwemo kanisani humo kuhudhuria ibada ya misa takatifu.

Mara ya pili ya kujuta ni jana. Mhe. Rais,alipokuwa akihutubia kilele cha Mei Mosi,alitamka na kusikika kuwa anajuta kuwa Rais. This is very serious. Inajulikana kuwa asingejuta kama angekuwa amejiandaa na kuutaka Urais. Asingejuta kama angeamua kugombea Urais kwa hiyari yake.

Ni muda wa kuwaambia watanzania,nani alimlazimisha Rais kugombea? Ni kwa malengo gani? Ili kutojuta zaidi,namshauri Rais kutogombea Urais mwaka 2020!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Ajihudhuru kama amechoka, hizi ni kejeli ila kama yuko serious aachie ngazi
 
kila analotumbua anakuta ndio wasis wa chama chake na maumiv anayapata na yeye pia ndio maana imekuwa ngum kumeza kwake
 
Aisee hii mupya kabisa - default presidency.
Definition default
-a preselected option adopted by a computer program or other mechanism when no alternative is specified by the user or programmer.
 
Nchi imeoza kila anapogusa pana rushwa,ufisadi nk. Amekuta watumishi wote ni majipu,ameikuta nchi inaendeshwa na washikaji yaani lolote utakalolifanya huulizwi na mtu. Kibaya zaidi,waliomuweka madarakani ndo kiini(mashina) cha majipu. Akitikisa matawi tu,amegusa kiini
 
JPM anaongea vile anazidi kukomaa na miingiliano ya waliomtangulia! Hakujua kuwa wenzake wameharibu kiasi hicho anachokiona! Ila akija akachoka kuwabeba akaamua kufyatuka kuna watu watahama nchi! Acheni aseme tu! Atakuja kuzoea atakuwa kiburi zaidi na mkono wa chuma! Time......
 
Abonyeze buton ya NYUKLIA bila kuangalia athari wala sura ya mtu
 
Aisee hii mupya kabisa - default presidency.
Definition default
-a preselected option adopted by a computer program or other mechanism when no alternative is specified by the user or programmer.
Simple mind mbona unaandika vitu complicated hivi.fanya mambo yawe simple tukuelewe
 
Hii sasa ni mara ya pili. Mara ya pili kuambiwa au kusikia kuwa Mhe. Rais anajuta kugombea na kuchaguliwa kuwa Rais. Mara ya kwanza watanzania waliambiwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Ilikuwa kanisani,kanisa katoliki la Mtakatifu Petro. Kardinali Pengo alisema kuwa alizungumza na Rais Magufuli kwa njia ya simu akiwa Chato,Geita. Pamoja na mambo mengine,Rais akajuta kuwa Rais. Wakati Kardinali Pengo akifichua hilo,Rais Magufuli alikuwemo kanisani humo kuhudhuria ibada ya misa takatifu.

Mara ya pili ya kujuta ni jana. Mhe. Rais,alipokuwa akihutubia kilele cha Mei Mosi,alitamka na kusikika kuwa anajuta kuwa Rais. This is very serious. Inajulikana kuwa asingejuta kama angekuwa amejiandaa na kuutaka Urais. Asingejuta kama angeamua kugombea Urais kwa hiyari yake.

Ni muda wa kuwaambia watanzania,nani alimlazimisha Rais kugombea? Ni kwa malengo gani? Ili kutojuta zaidi,namshauri Rais kutogombea Urais mwaka 2020!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Magufuli, wakati unaendelea kuondoa "majipu" -(silipendi neno hilo), shift your emphasis, weka mifumo ikusaidie kuiweka nchi sawa. Unajuta kuwa rais kwa vile hakuna mifumo. Na mifumo ni katiba ya Warioba and the like. Kwa style hii utachoka sana kwa sababu "PEOPLE SPEAK AT PEOPLE NOT TO PEOPLE" , maana hata hao wateule wako, kwa hakika hujui undani wao! Kwa mifumo mizuri ya utawala utaujua undani wao na hawatakuhangaisha
 
Alifaa kuwa waziri mkuu. Ila atafte washauri wasio wa nafiki anaweza kuwa na dhamira ila majipu yapo huko ccm yanayo mgusa had mwenyekiti. Hana haja ya kujuta abebe tu msalaba wa taifa no way out
Mwenyekiti naskia naye katangaza mali zake alizochuma akiwa raisi.dah! Magu ana kazi kweli kweli
 
Maukawa wana ubongo mdogo sana hata sword fish kawazidi, sidhani kama ulimwelewa alimaanisha nini, endelea kutoa hivyo hivyo
 
Urais ni kazi ngumu sana hasa nchi hixi za kwetu..matatizo ni mengi mno ..kila ukifikiri unaona mzigo ulojitwisha sio mdogo . Sasa unajua wakati wa kugombea na kuchukua fomu watu wanakushawishi chukua na unachukua na Mungu anakujaalia kupata ...sasa ukiingia ndani..ukiona hilo jukumu unaona mhhh haya maambo mazito
 
Back
Top Bottom