Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!

Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-
SWALI: Je huo Urais aliutaka au alipewa tu?
 
Andrew Nyerere kuna ukweli kwamba moja kati ya wadogo zako aliachana na Siasa akiamini kuwa ni ngumu kupima mafanikio yako katika siasa hivyo akaamua kuendelea na Ualimu wake? Nauliza tu mkuu wangu
 
Mbona Mwalimu Nyerere aliwai sema Urais ni mzigo mzito, je na yeye alikua hajajiandaa kua Rais..


Point hizi ni kauli zinazotumia diplomasia na saikolojia ya hali ya juu. Kauli kama hizi zinamuwezesha yeye kupima upepo na imani za watu juu ya uongiozi na kupima watu kama wanamkubali.
 
Anaongea kizalendo. Anawatahadharisha wanao taka kwea pipa la Urais wasifikiri kuna gud tm. Maneno ya Dk Magufuli yanatukumbusha muwasisi wa taifa ili alie pia uliza watu wanataka kwenda ikulu kutopakimbilia maana dunia inakuwa kichwan pako.
 
Magufuli kautazama Urais kwa kupitia Kikwete na Mkapa
kamuona Kikwete alikuwa mzembe
anafikiri Mkapa alikuwa perfect

tatizo challenges anazokutana nazo ni mpya...
ambazo hata Kikwete na Mkapa hatujui wangewezaje...

ndo maana ya 'kujuta' kunakuja
Mkuu The Boss all challenges anazoziface Dr. Magu sio mpya,labda suala la wafanyakazi wageni kuchukua nafasi ambazo zingewastahili Wazawa wa Tanzania. Lakini masuala ya:-

-Ufisadi mkubwa kila sekta na kulindana

-Ukwepaji kodi

-Watumishi hewa (Kwenye taasisi na mashirika ya umma)

- Watumishi wenye elimu ya magumashi

Yooote hayo yalikuwepo ila serikali zote za CCM zilizopita zililea hayo na Pia huyu jamaa HAKUJIANDAA na ni ngumu kuyashuhulikia hayo kwasababu atawagusa waliomweka hapo na ANAOGOPA HILO.
 
Nakubaliana na wew kwa asilimia zote.Pipoz warejee alichokisema mwapachu kwamba aliahidiwa uwazir wa mambo ya nje kama el akishinda.
Huyu ambae hakujiandaa ndie tunaemtaka maana hana ubia na mtu.
Ana ubia mkubwa na waliomweka hapo kimabavu ukihusisha wizi wa kura za Lowassa
 
Maguful aliposema watu walijua na hi mei mosi naweza nikaihairisha ilikusudi hela izo zikatumike kufanya kazi za wananchi *maendeleo*, afu akacheka chini chini binafsi sijamuelewa kbsa. Leo nime amin maguful ni Mr mi sifa................. nishaaza kumuona fake
 
Hakuwa tayari ni kweli kabisa hata aliyofanya kwenye kampeni yanadhihirisha alichukuliwa mwishowe kabisa baada ya kuona nguvu ya EL kisha ukasukwa mpango wa wizi wa kura the rest kinajulikana kilichotokea. ...haya maneno atayaongea tena n tena
Hivi kama kura ambayo ni karatasi tu mnasema ziliibwa, mngeweza kulinda rasilimali za Taifa kweli?
 
Mie nadhani raisi ameona Uraisi ni mzigo kutoka na changamoto nyingi zilizopo na kuwa na nia ya dhati ya kuzitatua angekuwa hana nia ya dhati ya kuzitatua asingeona kuwa ni mzigo. Chukulia Mfano ukiwa baba nyumbani na ukawa na tabia ya kuhandle majukumu ya kifamilia vizuri ni dhahiri utaona na mzigo lakini ukiwa baba blabla upo upo tu huwezi kuhisi huo mzigo wa familia
 
Nchi hii ngumu kutofautisha wapinzani Na chama tawala wote wapigaji tu.!

Wapinzani wenyewe wameshindwa kabisa kujitofautisha Na chama tawala.
Wameshindwa kwa vipi?

Majipu makubwa yamejaa CCM bado hayajatumbuliwa. Ngoja tuendelee kumsubiri Dr. Magu.
 
Nilimsikia
Angekuwa na uwezo angeacha ila hataki kuwa kwenye historia ya raisi aliekaa muda mfupi
 
mimi si shangai, kbsa walio jindaaa kuwa mapresedent nchii ni LOWASA pekee, ila wengine walikuwa wanabipu, tusubiri maka 2020, ili tuheshimiane vyema.
You might be RIGHT when one comes to think of that....
 
Yap,viroba vyoote nilivyo nunua kwa ajili ya kuwekea mahindi na maharage vimeisha
Halimbaya Viroba sio dili kijana
86183d97afa9d91def9a40a77a07cd34.jpg
 
Back
Top Bottom