Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Mmemsikia Rais anajuta kuwa Rais!

Kwani akisema kuwa anajuta what's is wrong with that?
 
MTU AMBAYE ALIOMBA KWA DHAT URAIS KWA UCHUNGU WA NCHI YAKE HASA KWA TANZANIA HII NCHI ILIOKUWA INATAFUNWA NA WACHACHE KAZI YA URAIS NI NGUMU LAKINI KWA WAPIGA DILI URAIS WA TZ NI DILI TENA BIASHARA INAYOLIPA YA KUWAIBIA WANANCHI. WALIOWENGI WALIKUWA WANATAKA URAIS SI KWANJIA NJEMA NIKUPGA MADILI NA MASWAHIBA WAO AU NAMAKAMBI YAO NA KUENDELEZA KUITAFUNA NCHI HII NA ASILIMIA KUBWA WALIKUA NI WANYANGANYI NA WAPIGA DILI TUSIONGOPEANE.MWADILIFU ANAYEPAMBANA NA UFISAD KWA TZ HII LAZIMA ASEME KAZ YA URAIS NI NGUMU KAMA ALIVYO WAHI SEMA BABA WA TAIFA IKULU KUNA NINI SIO SEHEMU YA KUFANYIA BIASHARA NI TABU TUPU.
 
Rais wangu, naomba usijutie uamuzi wako wa kuwa Rais ili kuwapigania na kuwatetea Watanzania hasa wanyonge. Tunajua kazi uliyonayo ni kubwa na ni ngumu sana. Sisi wananchi wazalendo wenye uchungu na upendo na Taifa hili na tunaothamini uongozi tunakuombea ili Mungu aweze kukusaidia kuiongoza hii nchi yetu na kuifikisha pale unapotaka ifike. Mungu akubariki sana na akulinde Rais wangu mpendwa. Asante kwa kujitoa sadaka kwa ajili ya Watanzania.
 
Juzi tu kamsifia dau kwa kazi kubwa ya aliyoifanya kwenye daraja la nyerere leo amawaambia wanaelekeza pesa kwenye mambo ya ajabu ajabu ikiwepo madaraja badala ya viwanda........

Mkuu dau anaenda hela,kina Ritz,the big show,abasmzegyptian waliroroma wee eti jpm kumsafisha dau,dau hasafishiki mkuu
 
Inabidi ashauriwe asikiri kushindwa. viongozi wadini msaidieni rais!
But to the contrary, kauli ya JPM inaashiria genuine mission and intention kuwa urais ni kazi ya kujitolea zaidi kuliko kuwa kazi ya kujinufaisha. Kwa kiongozi aliyekwenda Ikulu kwa ajili ya kujinufaisha huwezi kusikia akitoa kauli hiyo kwa maana jukumu la kuongoza taifa na watu kupata maendeleo would be insignificant. Kauli hii haimanishi personal preparation hata kidogo.
Mtakumbuka katika mojawapo ya hotuba zake Mwl. Nyerere aliwahi kusema kuwa "ukiwa rais unaangalia watu wanavyoteseka kwa umaskini, na wewe ni Mkuu wa Nchi, unaona kuwa hukufanya vyakutosha kuwawezesha watu hao kuondokana na umaskini. Unajisemea kuwa huu ni 'mzigo wangu'."
JPM anaona mzigo mkubwa wa majukumu na wajibu wake kwa nchi ulio mbele yake.
 
Hamisheni makao makuu kutoka ufipa na kuyapeleka dodoma !!
Nilisha kuambia, kama ujinga ingekuwa ni Mali basi nchi kwa kuwepo kwako ingekuwa na rasilimali hiyo tena kwa kiwango cha kujisifia
 
Kuna raha gani kuongoza li nchi lililooza kama hili, ukitaka kuliinyoosha inatokea mijitu mipuuzi kutetea uozo...ukikaa kimya inalalamika kuwa unalea uozo.

Si Bora kuchunga Ng'ombe tu.!
Ni rahisi kuongoza wanyama kuliko viumbe wanaoitwa Binadamu.
 
Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!

Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-
Ndio maana tunaishi kwa matamko
 
Mkuu dau anaenda hela,kina Ritz,the big show,abasmzegyptian waliroroma wee eti jpm kumsafisha dau,dau hasafishiki mkuu

Dau kishafunguliwa thread nyingi sana, ''Report za CAG' kutoka mafichoni zimeletwa na kujadiliwa, Waandishi wamemsubiri sana Mahakama ya Kisutu, tuliambiwa kapigwa marufuku kualikwa Darajani Kigamboni yote yamepita. Usiharibu Thread ya Ndugu Rais kwa kuleta Mjadala mwingine, ukitaka tujadili ya Dau hata kwa kuleta report za kupika mlizozoea kuzileta Anzisha Thread utapatiwa ufafanuzi. Dau alikuwa Mkurugenzi tu asikunyime usingizi kila Mjadala lazima utafute fursa ya ku type jina lake tu! Jifunze kuishi bila ya kumuwaza Dr.Dau inawezekana tu ukiwa na dhamira. Uteuzi wa DG MPYA NSSF Kafanya Rais sio Dau poleni!
 
Juzi tu kamsifia dau kwa kazi kubwa ya aliyoifanya kwenye daraja la nyerere leo amawaambia wanaelekeza pesa kwenye mambo ya ajabu ajabu ikiwepo madaraja badala ya viwanda........
Husije kushangaa ukasikia kesho ana mgeuka makonda
 
Kuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!

Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-

Maana yake ni kubwa kuliko unavyofikiria.

Rais mwizi au fisadi hawezi kujuta kupata nafasi kama hiyo. Ukiona mtu anautafuta urais kwa udi na uvumba ujue ndiyo wa aina hiyo.

Huyu anajuta maana matarajio yake ya kuboresha maisha ya watu wake sasa anayaona magumu kutokana na hali halisi iliyopo serikali. Kwa wenzetu, Rais huanza kutekeleza sera zake moja kwa moja lakini sisi lazima uanze kuzoa uchafu wa mtangulizi wako.
 
Wakati mwingine inabidi uyaangalie maneno katika tafsiri pana zaidi. Maneno ya kuonesha urais ni mzigo yameshawahi kusemwa na mwalimu JK zaidi ya mara moja.
 
Juzi tu kamsifia dau kwa kazi kubwa ya aliyoifanya kwenye daraja la nyerere leo amawaambia wanaelekeza pesa kwenye mambo ya ajabu ajabu ikiwepo madaraja badala ya viwanda........

I think he is fast learning...nilisikia habari ya daraja la kutoka aga khan hadi oysterbay akiongea na wazee wa dar nikachoka...bora sasa ameanza kuelewa mambo ya msingi kufanya
 
Wakati mwingine inabidi uyaangalie maneno katika tafsiri pana zaidi. Maneno ya kuonesha urais ni mzigo yameshawahi kusemwa na mwalimu JK zaidi ya mara moja.
Ndio maana nmesema mtoa maada yupo kama inzi Linalofuata mzoga lipo lipo tu, linakenua na kushabikia lisilojua...
Kuna mzigo ndan ya nchi hii hatar
 
Mnasema hakujiandaa lakini kazi anazofanya hata hao waliojiandaa hawajawahi kuzifanya kakuta uozo mkubwa serikalini na anaonekana ana dhamira ya dhati kumsaidia mwananchi wa chini
 
Mbona hajakosea,hata pia inamaanisha haya makumu mazito na changamoto ambazo wenzake hawakuwahi kuzikabili walikua wanapeleka nchi kwa manufaa yao ndo inafika mahala anajiuliza kumbe urais upo hivi yani alijua ni kawaida tu,hii haikosani na ile hali ya mtu kudhani kila anaemaliza chuo na kugraduate hajawahi kufeli,akajiunga nae akapata japo sup 3 ndo anajiuliza kumbe degree ipo, hivi kweli sijajiandaa kusoma degree.Ndo mana magufuli anasema hata yeye hakujiandaa kua rais kwa ayaonayo sasa.
 
Back
Top Bottom