Mpoto ni kati ya watu muhimu sana nchini hasa kwa nasaha zake za msingi sana kwa mjomba wake ambao tunamjua, lakini baya zaidi nyimbo zake za kujenga na kuonya uozo wa jamaa zetu hazipewagi nafasi za kutosha sana katia radio na tv zetu ile zile nyimbo za kijinga ndo sana tu tena zinazofundisha ujinga kwa mfano nyimbo inasema NATAKA KULEWA NIKIFANYAJE SIJUI NIMWAGE LAZI, AU NANI KAMWAGA POMBE YANGU, Na nyingine nyingi unazozijua ambazo hazina tija kwa mstakabali wa taifa.
Embu sikiliza wimbo kama chocheeni kuni ili moto ukolee, nikipata nauli na zingine nyingi jinsi ambavyo zimebeba falsafa kubwa mno kiasi unahitaji uwe na upeo.
Sasa katika nyimbo waite Mrisho anamwambia mjomba achutame maana muungwana akivuliwa nguo huchutama hii inamaana mjomba wake kavuliwa nguo kitambo na hajistukii kabaki anauza dushelele tu sijui mjomba wa wapi huyo ningemjua mimi.
Kwa wale ambao hawajasikiliza wimbo huu nawasihi muusikilize unaitwa WAITE