Mrisho Mpoto ''Fukuza wote kuanza upya sio ujinga'' ; Shairi limemgusa Magufuli

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
MRISHO MPOTO ; NI MSHAHIRI NGULI TANZANIA . NI MSHAHIRI KATIKA HAWAMU WA NNE ALITOA NYIMBO NYINGI ZA KUIKUMBUSHA SERIKALI YA AWAMU YA NNE,

Mrisho Mpoto Ft Mjomba Band - YouTube

Mpoto ft Banana Nikipata nauli - YouTube

Mrisho Mpoto Feat Ditto -Chocheeni kuni - YouTube

MRISHO MPOTO (MJOMBA) - WAITE - MP3. - Kizobrax

KATIKA SHAIRI HILI LA
''FUKUZA WOTE KUANZA UPYA SIO UJINGA'' SHAIRI LIMEMGUSA MAGUFURI''
MAGUFURI KAAMUA KUFUATA BEAT YAKE KUFUKUZA WAFANYAKAZI WAZEMBE , WALEVI.
KUANZA UPYA SI UJINGA
 
Nchii kila mmoja tapeli,mpoto naye msanii sana alipiga pesa akasahau utanzania
Huyu jamaa tapeli kweli, kipindi cha Kampeini alikuwa anamkampeinia tapeli mwenzake Manji.
 
Kama yeye alivyoanza upya kuiwakilisha kenya kwenye tamasha la Kiswahili badala ya kuiwakilisha Nnchi yake Tanzania.
hakua na namna. angefanyaje kama watanzania hawathamini vilivyovyao. wacha wakenya watumie vyetu kujinufaisha, mt.kilimanjaro, nyumbu na sikuhizi naskia O.Gorge ni yao!
 
hakua na namna. angefanyaje kama watanzania hawathamini vilivyovyao. wacha wakenya watumie vyetu kujinufaisha, mt.kilimanjaro, nyumbu na sikuhizi naskia O.Gorge ni yao![/QUOTE

Wa Kwanza kuonyesha kujidharau ni wewe.
 
MRISHO MPOTO ; NI MSHAHIRI NGULI TANZANIA . NI MSHAHIRI KATIKA HAWAMU WA NNE ALITOA NYIMBO NYINGI ZA KUIKUMBUSHA SERIKALI YA AWAMU YA NNE,

Mrisho Mpoto Ft Mjomba Band - YouTube

Mpoto ft Banana Nikipata nauli - YouTube

Mrisho Mpoto Feat Ditto -Chocheeni kuni - YouTube

MRISHO MPOTO (MJOMBA) - WAITE - MP3. - Kizobrax

KATIKA SHAIRI HILI LA
''FUKUZA WOTE KUANZA UPYA SIO UJINGA'' SHAIRI LIMEMGUSA MAGUFURI''
MAGUFURI KAAMUA KUFUATA BEAT YAKE KUFUKUZA WAFANYAKAZI WAZEMBE , WALEVI.
KUANZA UPYA SI UJINGA

Lkn...kamanda, tunayajua mashairi?
Msanii Mrisho Mpoto ni mshairi?
...na si vema kurejea darasani kukisoma kiswahili?
 
Lkn...kamanda, tunayajua mashairi?
Msanii Mrisho Mpoto ni mshairi?
...na si vema kurejea darasani kukisoma kiswahili?
Nakuunga mkono 100%. Kwa wale wasiojua ni kwamba Mrisho Mpoto katika kazi yake ya kifasihi anayoifanya yeye ni mwimbaji yaani anaimba nyimbo

Ipo tofauti kati ya Mashairi na Nyimbo lakini zote ni kazi za fasihi ambazo zipo katika utanzu wa ushairi. Baadhi ya Vipera vya Ushairi ni Mashairi, Nyimbo, Ngonjera na Utenzi/Tenzi/Tendi

Ni hakika Mpoto ni mshairi lakini kazi zake tunazozisikia na kuzitazama kwenye vyombo vya habari si Mashairi bali ni nyimbo japo kuna mbinu za kifasihi za kuwasilisha kazi fulani. Mfano, msanii anaweza kuwasilisha mashairi yake huku ndani mwake kukiwa na Nyimbo au anaweza kuwasilisha Nyimbo zake huku ndani mwake kukiwa na Mashairi.

Lakini Mpoto anaimba Nyimbo, haimbi Mashairi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom