Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,684
- 149,887
Mara baada ya Raisi Magufuli kukabidhiwa ripoti ya watumishi waliokuwa wanatumia vyeti feki,muda mfupi baadae soft copy ya ripoti hiyo ikiwa na orodha ya majina hayo ilianza kusambaa mitandaoni na kesho yake ikatoka kwenye magazeti.
Sasa hii ripoti kuhusu huu mchanga wa dhahabu mbona mpaka sasa hawajatoa hata full soft copy?
Niwaambie tu ndugu zangu, binafsi sitashangaa kuona hii ripoti ikiishia katika makabati ya pale magogoni na tusiisikie tena.
Kama kuna mwenye nayo naomba kupatiwa link.