Mmechoka, mshalala?

Mmechoka, mshalala?

Heri yao blues

Nani yupo macho bado? Nasheherekea kichapo cha Man Utd na kutolewa kwao pamoja na jirani yake Mancity kwenye CL. Karibuni tufurahi!
 
Habari yako Kongosho? Regardz to Boss maana umembana nasikia hata hapatikani kwa cm, Pm, hata mtaani...lol
 
Leo nimemwacha akacheze huko kwenye udaku, ila karibia namfuata aje alale sasa.

Jamani ina raha yake kujipatia Eminem wa jf

Hahahaa!! Hongera dear.... Eminem eeeh?? NO Wonder you like the way it hurts....
 
Back
Top Bottom