Mmechoka, mshalala?

Mmechoka, mshalala?

Bora airudishe tu
fidodido haiendani na koment zake
itakuwa kama watu wameiba password yake

Mphamvu ile picha yako ya kusinzia umeipeleka wapi? halafu hizo nywele zako ndio Fido Dido?
 
Ha ha ha, nieamka mapema lakini nilikuwa nakamua ng'ombe kwanza, jf badae
Nakuaminia..yaelekea shuleni ulikuwa mtu wa kukesha sana. Umelala saa saba na nusu..saa moja upo macho..dah!!
 
saa saba nimechangia thread ya mwisho
Bado kujibu PMs
afu bado shughuli za kujiandaa kabla ya kulala

nimelala saa tisa na robo
na saa kumi na moja niko macho
nakamua ng'ombe wangu
awe tayari kwa kwenda kazini

Nakuaminia..yaelekea shuleni ulikuwa mtu wa kukesha sana. Umelala saa saba na nusu..saa moja upo macho..dah!!
 
jamani mara hii hamuonekani?
Mshalala?
Au kimchina changu hakiwaoni?

Hebu rudini tupige story mbili tatu afu tupotee.

wewe si wafanya kazi voda na umepewa shift ya usiku customer care?
 
Mphamvu ile picha yako ya kusinzia umeipeleka wapi? halafu hizo nywele zako ndio Fido Dido?

ile kuna mtu alinishauri niitoe.
Ila kama umeimiss sana nenda kwenye page yangu utaikuta.
Sawasawa?
 
Bora airudishe tu
fidodido haiendani na koment zake
itakuwa kama watu wameiba password yake

mhm?
Ina maana nilipelekwa chaka?
Kwani coment za fidodido zin'takiwa ziweje mpenzi?
 
koment zako zinaendana na yule mlalaji
huyu fidodido ntamchunguza computa yangu ikipona kipengale cha rangi maana saa hiv naona black and white tu

eh?
Makubwa mwenzangu... Pole kwa kuuguliwa na kompyuta yako bidada.
Sasa unanishaurije?
 
Safi kabisa. Umeona eh! Nitakuwa sijalenga vizuri kama vipi na leo nitalirudia game. Nalog off

natumai utaniwakilisha vema kwenye tukio la leo, afu tukutane jukwaa la chini tupeane updates.
Sawasawa?
 
kongosho aka mbeba box aka tiger aka Ally wa kitaa aka NN.
 
afu nasaka mke wa tatu, unataka nikupose?

ujue bi mkubwa ndo sabuni ya roho lakini.

kongosho aka mbeba box aka tiger aka Ally wa kitaa aka NN.
 
Mi nashangaa sana jinsia yangu inawastua nini?

Mie shemale, kwa hiyo na act according to counterpart aliyejitokeza wakati huo.

mhm...!!
Kongosho ni me kumbe?
 
Back
Top Bottom