Mme wa mtu poison

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,676
729,835
7fa70db0cd73ebf13617c5ba2140660b.jpg
 
Kwa hii picha yapasa iwe fundisho kwa baadhi ya dada zetu wajiangalie sana wakiendelea na tabia zao wataangukia pabaya kama huyu dada....
 
Kwa vyovyote vile hii ni jinai na hamna namna yoyote ya kuhalalisha! Naona hii dhana potofu ya kwamba mume/mke wa mtu sumu inawafanya wengi kuunga mkono vitendo vya kijinai kama hivi. Huyo mwanamume ni mtu mzima na aliamua kwa hiari yake kukosa uaminifu kwa mwenzi wake wa ndoa! Yanapotokea mambo ya ukosefu wa uaminifu, tafadhali wekaneni sawa na wenzi wenu ambao ndio mlifunga maagano/kupeana ahadi za uaminifu! Kwenda kumshambulia "third party", sio sahihi!
 
Hio ni jinai....mhusika atahukumiwa lakini na yeye ndio kashaharibiwa reception....asingetoka na mume wa mtu yasingemkuta....kinga ni bora kuliko tiba.
 
Hata sijui nimeichota fesibuku nasikia eti alipona lakini ndio hivyo tena kama unavyomuona
kwa hasira ndio nitamuoa kabisaaà na kwa gharama yoyote nitahakikisha naitengeneza upya sura yake. Mimi kutembea nje ya ndoa sio chanzo cha wewe kuwa katili na muuaji, ukatili na uuaji ni hulka ya mtu, wivu Wa mapenzi ni kisingizio tu
 
Back
Top Bottom