Mme wa mtu poison

Mme wa mtu poison

Na sie waume za Wake zetu jamani tuwajali binadamu wenzetu. We unajua mkeo hatari kwa nini utoke nje?

Hivi Tendo la ngono huwa ni siri inakuwaje hadi mtu unastukiwa?
 
Na sie waume za Wake zetu jamani tuwajali binadamu wenzetu. We unajua mkeo hatari kwa nini utoke nje?

Hivi Tendo la ngono huwa ni siri inakuwaje hadi mtu unastukiwa?
Penzi ni kikohozi kulificha hauwezi
 
7fa70db0cd73ebf13617c5ba2140660b.jpg

huyu atakua MOTOCHINI, siku mbili tatu haonekani humu kumbe amekumbwa na dhahama
 
huyu atakua MOTOCHINI, siku mbili tatu haonekani humu kumbe amekumbwa na dhahama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kama una mke mwenye uthubutu wa kufanya hayo aliyofanya huyo... Achana nae kaa nae mbali kama ukoma

Huwezi jua wewe atakufanyaje.
 
Vipi, mbona una wasiwasi....na wewe unachepuka na mume wa mtu....shauri lako....utachunwa mkorogo wako na kupasuliwa Zaidi ya huyo dada.
teh kabla hajanichuna hivo yeye atakua maiti..mume wa mtu anachata?
 
Hiyo ni jinai Mshana. Besides, mapenzi ni maridhiano. Alipaswa amchane mume wake. Kuoa sio adhabu. Kuchepuka ni haki ya kila mtu (havujnji sheria yoyote). Sasa watachepuka na nini kama sio mke au mwanamke wa mtu? Msitutishe wakuu
 
Simo...mi ni kijumbe tuu
 
Hiyo ni jinai Mshana. Besides, mapenzi ni maridhiano. Alipaswa amchane mume wake. Kuoa sio adhabu. Kuchepuka ni haki ya kila mtu (havujnji sheria yoyote). Sasa watachepuka na nini kama sio mke au mwanamke wa mtu? Msitutishe wakuu
njoo ujaribu kwa my wife nikufundishe kitu bila ghalama
 
hii ndo dawa nothing more,endeleeni na zinaa kwa kivuli cha jinai mtakufa kila leo
 
hahah hamna bana kujitetea muhimu..huyo dada ingebidi apambane na yeye si ajabu alitulia haya ona sura ilivyobomolewa kama imepitiwa na greda.. chaaaaa
Duu asavali
 
Kwa vyovyote vile hii ni jinai na hamna namna yoyote ya kuhalalisha! Naona hii dhana potofu ya kwamba mume/mke wa mtu sumu inawafanya wengi kuunga mkono vitendo vya kijinai kama hivi. Huyo mwanamume ni mtu mzima na aliamua kwa hiari yake kukosa uaminifu kwa mwenzi wake wa ndoa! Yanapotokea mambo ya ukosefu wa uaminifu, tafadhali wekaneni sawa na wenzi wenu ambao ndio mlifunga maagano/kupeana ahadi za uaminifu! Kwenda kumshambulia "third party", sio sahihi!
Kama wewe ni mwanasheria hebu kasome tena kitu kinaitwa fragento delicto (sic) ili ujue kufumania kwa ghafla na kujeruhi mbaya wako ni utetezi mzuri tu ktk kesi za jinai.
 
Kama una mke mwenye uthubutu wa kufanya hayo aliyofanya huyo... Achana nae kaa nae mbali kama ukoma

Huwezi jua wewe atakufanyaje.
Sure, mke hatari kama huyo hafai kuendelea kuishi nae hata dakika moja zaidi, ni jamii ya chinja chinja hivyo anaweza kukuchinja hata wewe mme usingizini.
 
Back
Top Bottom