Mme wa mtu poison

Mme wa mtu poison

7fa70db0cd73ebf13617c5ba2140660b.jpg
Haya mnaodai mume wa MTU chachandu anzeni kutia MAJI!
 
Acha wakomeshwe tu, unakuta mdada kashindikana kuolewa kwa ajili ya tabia mbaya halafu mzengeaji Mkubwa wa waume za watu, acha waumizwe tu maana hakuna namna nyingine!
 
Tunashuhudia wasichana wadogo wanawaponda vijana wenzao eti hawana Fedha, na ni Wateja wakubwa wa waganga wa Kienyeji ili wawateke waume za watu! Watu kama hao mnawahurumia wa nini? Acha wapigwe tu maana hakuna namna!
 
Ni ujinga na upumbavu kumdhuru mtu kisa tahira wako mwenyewe na uzinzi wake kwani alibakwa au alitekwa akalazimishwa kutoka nae yaani mi nikimfuma mwanamke wangu ntamwambia mwanaume aliyekua anachepuka nae aende zake afu mwanamke sasa ntakae baki nae ndo atajua kama kuku anakojoa au hakojoi
 
Kwa maoni yangu nadhani inabidi tuwe fair.
Piga wembe na mumeo pia.
Sababu nadhani kumwadhibu mgoni peke yake na kumwacha mkeo/mumeo ni uonevu sababu nae anajua ana mke/mume na anamsaliti akijua kabisa.
Kinachoibwa hua ni kisicho na akili,mtu mzima kuibwa naamini ni maamuzi yake binafsi.
N.b kua makini na mume/mke wa mtu sababu hata mkiadhibiwa wote bado utakua umepata hasara tu.
 
Kwa vyovyote vile hii ni jinai na hamna namna yoyote ya kuhalalisha! Naona hii dhana potofu ya kwamba mume/mke wa mtu sumu inawafanya wengi kuunga mkono vitendo vya kijinai kama hivi. Huyo mwanamume ni mtu mzima na aliamua kwa hiari yake kukosa uaminifu kwa mwenzi wake wa ndoa! Yanapotokea mambo ya ukosefu wa uaminifu, tafadhali wekaneni sawa na wenzi wenu ambao ndio mlifunga maagano/kupeana ahadi za uaminifu! Kwenda kumshambulia "third party", sio sahihi!
Si dhana potofu! Mke wa MTU sumu, pia baada ya wanawake kujitambua mume wa MTU ni sumu pia ni dhana ya kweli na imethibitishwa katika uzoefu wa jamii!
Kama unabisha endelea kuchovya chovya asali za watu na kuna siku arobaini zako zitatimia!
 
kwa hasira ndio nitamuoa kabisaaà na kwa gharama yoyote nitahakikisha naitengeneza upya sura yake. Mimi kutembea nje ya ndoa sio chanzo cha wewe kuwa katili na muuaji, ukatili na uuaji ni hulka ya mtu, wivu Wa mapenzi ni kisingizio tu
Basi na mkeo naye aolewe kabisa Nyumba ndogo tuone!
 
Si dhana potofu! Mke wa MTU sumu, pia baada ya wanawake kujitambua mume wa MTU ni sumu pia ni dhana ya kweli na imethibitishwa katika uzoefu wa jamii!
Kama unabisha endelea kuchovya chovya asali za watu na kuna siku arobaini zako zitatimia!

Sitetei wala kuhalalisha kutembea na mke/mume wa mtu! Hoja yangu imekita kwenye swala la wanandoa ku deal na "third party"!!! Pamoja na kwamba huyo "third party" anaweza naye kuwa "victim" ama kwa kurubuniwa ama kwa kulaghaiwa, ila hoja ni kwamba yule mwanandoa aliahidi uaminifu kwa mwenzi wake! Anapokosa uaminifu, aliyekosewa uaminifu achukue hatua dhidi yake kwani waliahidiana!!!!
 
Sitetei wala kuhalalisha kutembea na mke/mume wa mtu! Hoja yangu imekita kwenye swala la wanandoa ku deal na "third part"!!! Pamoja na kwamba huyo "third part" anaweza naye kuwa "victim" ama kwa kurubuniwa ama kwa kulaghaiwa, ila hoja ni kwamba yule mwanandoa aliahidi uaminifu kwa mwenzi wake! Anapokosa uaminifu, aliyekosewa uaminifu achukue hatua dhidi yake kwani waliahidiana!!!!
Huyo unayemwita "third party" ndiye anayepaswa kujihadhari! Maana ni MTU mzima na anajua anachokifanya hakipaswi! Wanawake hufikia hata hatua ya kwenda kwa waganga wa Kienyeji ili wawateke waume za watu!
Wanadai mime wa MTU chachandu! Au wewe haujawahi kuwasikia? Third party sampuli hiyo unamhurumia wa nini?
 
Whichi poizoni is zisi.....,polonium.....acid o wat......?...Leti mi pasonale cheki zis klozli.........
At the same time Mke wa mtu ni fresh milk yata dilute hiyo poison hakuna tatizo, huyo ali jisahau tu ika mkuta ajali.
 
Back
Top Bottom