Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 222
Ndugu, hizo siyo spices za mapenzi hasa kwa wana ndoa. mara nyingi yanatokea kama ameshakuwa na wasiwasi nawe. hata akikuambia kuwa anafanya hivyo sababu anakupenda sana ni uongo tupu. mbona hakuwa anakuvalisha hizo nanihii zake tangu mwanzo? alisikia wapi mwanaume akivaa chupi ya mwanamke ndo inakuwaje sijui? hapo ndugu ujue kama hujatiliwa wasiwasi basi kuna lake jambo.
Mi naona ingekuwa ni kwa ajili ya vionjo, basi angekuwa anakuvalisha mkiwa chumbani ili awe anakuona, sasa anakuvalisha ukiwa unaenda kazini ili iweje? anakuona nani huko?
Jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.
Nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.
Pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.
Nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??
huyo ana wivu. Ivae tu,ila kama inakusumbua waweza ivaa,ukifika hatua mia tu ukaivua,jioniiiiiiiiiiiii.unairudishia tena.jamani naomba mnishauri, mke wangu ananivalisha shupi zake kila siku. Mbaya zaidi ni chupi nyeupe, na nikirudi home ananikagua.
nimemuuliza kwa nini anafanya hivi amesema kuwa mimi nitoe ushirikiano tu akishamaliza kazi yake ataniambia kwa nini anafanya hivyo.
pili anadai kuwa chupi nyeupe ni rahisi kwake kufua, sijui ni kweli?? Kinachonishangaza ni ile kuvalishwa chupi zake na kunikagua kila nirudipo nyumbani.
nimechoka sana na tabia yake, nishaurini nifanyeje??
Ni mapenzi tu hasa pale mambo ya ubunifu yanapohitajika ndo kama hivyo.
Mkeo anakupenda sana kaaamua kuonyesha mapenzi yake kwa style ya kipekee
😉
Wana JF, nashukuru sana kwa mawazo yenu na kunifariji. Kwao mnaodhani hivi ni vioja siwezi kuwafanya muelewe ukweli wa jambo hili.
Siyo siri, nampenda sana mke wangu, na wala hatujakorofishana kuhusu mahusiano nje ya ndoa. Ndiyo maana swala hili nikalileta hapa niweze kueleweshwa kama ni kwaida au vipi? Maana JF ni jungu kuu halikosi ukoko.
Na hii yote imenigusa baada ya mwana JF kueleza kuwa mkewe ameweka mchuchumio kwenye kiti cha mbele ya gari ya mme.
Kwa walio kwenye ndoa nadhani hivi ni vijimambo tu vina-spice up mapenzi.
Ni mapenzi tu hasa pale mambo ya ubunifu yanapohitajika ndo kama hivyo.
Mkeo anakupenda sana kaaamua kuonyesha mapenzi yake kwa style ya kipekee
😉
Endelea na ujinga wako tu,ataanza kukuvalisha pedi huku akikwambia ni mapenzi tu,hebu zinduka na uchukue hatua kulinda uanaume wako.
Kilicho kosewa hapo ni kitu gani na hayo ni maandiko kutoka union vesion, bibilia ya kiswahili.kwa upande wa biblia umekosea............... labda ungefafanua ungeeleweka sio kubandua tu na kubandika.................
si mapenzi wamekosa kazi za kufanya ,na wewe unakubali tu kuvalishawa umetulia, dalili mbaya hizo
Nyuki wajua huyo Mwanamke ana jambo lake ..na baada ya muda kasema atamwambia mmewe kwa nini alikuwa anafanya hivo
..Labda atakuja tena kutupa jibu atakalopewa na wife
Endelea tu kuvaa hizo G strings!