Mmasai na chupi mpya

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,159
Mmasai mmoja alikuwa anasafiri kutoka umasaini kuja dar.Katika moja ya matayarisho yake ya safari akaamua kununua angalau chupi.Siku ya siku akapanda zake basi kuja dar.

Akiwa ndani ya basi akachanua miguu yake ili watu waone chupi yake mpya bila kujua kuwa alisahau kuvaa.Watu wakapigwa na butwaa yeye akawa anaendelea kujiweka wazi zaidi akijua wanamuonea wivu.

Alivyoona wanazidi kushangaa akaamua kuvunja ukimya,akawaambia "mnashangaa nini?na nyumbani nimeacha kama hii ya kijani."

Unajua baada ya kuchekwa alipofika koogwe kwenda chooni akaivaa. Kufika chalinze akahisi haja kubwa,akaomba msaada kwenye kichaka, kwenda chooni sihajazoea akavuta shuka zake juu akashusha mzigo bila ya kuvua chupi, kunyanyuka hakuna kitu! Akarudi kwenye gari huku akilalama: ''chalinze ni noma sana, inaiba mpaka kinyesi ya binadamu?'' Abiria kilammoja akishika pua yake, ohoo babayeyooo keshaharibu!!!!!!!!!

mhhh. Harufu imefika huku kwetu.

Mmasai mmoja alikuwa anasafiri kutoka umasaini kuja dar.Katika moja ya matayarisho yake ya safari akaamua kununua angalau chupi.Siku ya siku akapanda zake basi kuja dar.

Akiwa ndani ya basi akachanua miguu yake ili watu waone chupi yake mpya bila kujua kuwa alisahau kuvaa.Watu wakapigwa na butwaa yeye akawa anaendelea kujiweka wazi zaidi akijua wanamuonea wivu.

Alivyoona wanazidi kushangaa akaamua kuvunja ukimya,akawaambia "mnashangaa nini?na nyumbani nimeacha kama hii ya kijani."

niliisikia zamani mo.!

Similar Discussions

Back
Top Bottom