white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,890
hivi hawa sumry vipi?mbona sijasikia hatua kali zinachukuliwa kwenye hii coy,au ndio ule uvumi kuwa ni coy ya watu wazito?
Inasikitisha sana.Pengine kama watanzania tungekuwa watu makini, dawa ingekuwa ni kuyasusia hayo mabasi yao hata kama yatabadilisha jina hadi kampuni yao ifirisike then ingekuwa mwisho wa ajali zao za kijinga.Basi la sumry liliokuwa linatoka mwanza limegongana na rav4 kibaha na kuna watu wamekufa.
Nakubaliana na wewe,maana serikali imekaa kimya kama hakuna kitu kinaendelea.Inasikitisha sana.Pengine kama watanzania tungekuwa watu makini, dawa ingekuwa ni kuyasusia hayo mabasi yao hata kama yatabadilisha jina hadi kampuni yao ifirisike then ingekuwa mwisho wa ajali zao za kijinga.
.................unajua sumry wana mabasi mangapi?..................hudhani kuwa namba ya mabasi ambayo kampuni inayo na yenyewe inamatter.........................mbona na jana lingine lilianguka?
This is too much with this carrier now!
Watatufanya tuamini yasiyoaminika!
Mimi naona ndugu zangu, tuombee mabasi haya yasipate ajali, tusikae kulaumu oh serikali haioni, oh oh, haitasaidia, tumuombe Mungu aondoe ajali katika kampuni hii na kampuni nyingine zote, huu ni mapango wa ibilisi wa kujivunia watu kwa njia ya haraka. Nina amini Mungu atasikia tu, someni YER 33.3, mbarikiwe wote mtakaofanya hivyo
I would leave GOD out this. Huu ni uzembe wa binadamu, period. Ndani ya week 6 tu sio chini ya ajai tatu! Kwa nini polisi wasisitishe leseni hadi watakapridhika kuwa Summry ana uwezo wa kusafirisha watu na sio kuuwa?
Hukunielewa, sijasema Mungu anahusika katika hili, ila kwa vile it is too much, tumuombe Mungu atusaidie kutuondolea hizo ajali, na simaanishi sheria isichukue mkondo, no no, yaani pamoja na hayo yote lakini na ibilisi yupo katika hili, basi Mungu awezaye yote atuepushe na ajali hizi pamoja na wahusika kuchukuliwa hatua tusikae kulaumu tuu nasi tuchukue hatua ya kuomba, that's allI would leave GOD out this. Huu ni uzembe wa binadamu, period. Ndani ya week 6 tu sio chini ya ajai tatu! Kwa nini polisi wasisitishe leseni hadi watakapridhika kuwa Summry ana uwezo wa kusafirisha watu na sio kuuwa?
Hakuna aliyemlaumu Mungu, soma vizuri ueleweMkuu unajua tatizo letu ni kuwa kila siku tunamlaumu mungu kwenye kila jambo inabidi mamlaka husika zitimize wajibu wao tuache kumlaumu mungu kwa kila jambo.
Kweli mkuu kama sisi kwetu Malinyi ajali ni historia.Possibly kwenye barabara za vumbi madereva huendesha kwa makini.