nrongalema
Member
- Apr 11, 2011
- 48
- 5
imetokea ajali mbaya maeneo ya makumira Arusha kati ya hiace na ngorika...watu 9 wamekufa hapohapo..!habari zaidi zitawajia..!
Duh Mungu tuepushe na hz ajali,kama vp mkuu weka picha au chanzo cha habari ni wapi?