Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

Mmh! Mkubwa huu msimamo wako hapana... Kuna watu wasio na hatia hata kidogo wameathirika katika hili janga

Ni kweli wengine walikua wanakaa tu pembeni wakishangaa ila kwa kuwa petrol ilisambaa sana ardhini na nguo zilishashika harufu ya kutosha na wao waliwaka
 
mfarisayo ni kweli kabisa.....nimepata taarifa kuwa askari walikuwa wakiuza mafuta kwa bei ya sh 5,000/= unakuja na vyombo vyako unachota unaondoka.....! ni aibu kwa kweli...!
Nina ndugu yangu naye amejeruhiwa yupo hospitali
 
Ajali za barabarani zinaendelea kugharim maisha ya watu. Leo asb bus la Ngorika likitokea Ar kwenda Dar likagonga hiace ya abiria ambayo ilikua inamkwepa mwendesha baiskeli. Takribani watu wasiopungua 8 wamefariki on the spot. Majeruhi ni wengi wamekimbizwa Mt Meru Hosp.
 
imetokea maeneo gani ya arusha na hiace ilikua inaelekea pande zipi?ni daladala?
 
tatizo ni serekali kutotaka kufana upanuzi wa barabara, si rahisi kumaliza ajali za barabarani bila kuwa na utatuzi wa barabara. imefika wakati nchi yetu iwe na double rod za kwenda na kurudi, apo tunaweza kupunguza ajali.
 
Maeneo karibia USA RIVER, ukitoka Makumira kuna kadaraja kapo kabla ya kufika usa river. Hiace ni ya abiria inatokea arusha town inalekea Maji ya chai.
 
Gari la abiria la Ngorika limegongana na Hiace na kusababisha vifo vya watu takribani 20 au zaidi na majeruhi wengi mno katika eneo la makumira. Ngorika miguu juu na hiace imekgandamizwa kabisa.

RIP.
 
OMG! What....motor traffic accident is the top killer in our tanzania. Something must be done for sure. Inatia simanzi kubwa!
 
RIP marehem wote usalama wa barabarani ni mbovu sana tanzania hv toka town mpaka USA jamaa wa ngorika alikua ameshachanganya mwendo mbona hapo ni pafupi sana na pana magari mengi sana inastaajabisha sana yawezekana alianza kwenda spidi kali kuliko inayohitajika kwa maeneo hayo!kuna umuhimu wa kuweka camera maeneo ya mijini sasa maana naona trafki wameshindwa kazi sasa na madereva wanashindwa kujiheshimu pia abiria kama wanaona dreva anakimbia kwanini hawamwambii?
Maeneo karibia USA RIVER, ukitoka Makumira kuna kadaraja kapo kabla ya kufika usa river. Hiace ni ya abiria inatokea arusha town inalekea Maji ya chai.
 
Hapo inabidi idara nzima ya polisi wa usalama barabarani wajivue gamba.Kazi yao ni kukinga mikono wapate pesa na sio kutekeleza majukumu yao.
 
Innalillah wainailaih rajiuun, POLENI WAFIWA WOTE.
 
hapo unawezakukuta dreva wa hiace alirefusha route na dreva wa ngorika alikua mwendo mkali yaani bongo hali ya usalama barabarani hatupo makini sana!kuvunja sheria imekua suala la kawaida tu na mwaka huu mda mfupi tu tumepoteza watu wengi sana kwa ajali na wengine kukatika viungo!
 
Hivi kumbe haya mabasi ya Ngorika bado yapo? miaka kibao ya nyuma niliwahi kupata ajali nayo toka Moshi kwenda dar.
 
jaman hizi ajali mbn zmekuwa ni nyingi sna madelever hawapo makin wachukuliwe hatua
 
Zikowapi zile speed Governor?ule ni mradi wao walanchi sasa inakula kwetu raia wema.......RIP..
 
Madereva wa ngorika na chakito ndo wanaongoza kwa mwendo kasi ili wafike wa kwanza.wamewekewa utaratibu na maajenti wa tiketi kuwa gari ya kwanza kufika ubungo driver anapewa 50,000 ili kuvutia abiria wafanyabiashara wanaopenda kuwahi...
 
Thread nyingene ipo huku inaönyesha ni vifo 6 na radio one pia wanatangaza sasa
 
dah! Mungu wangu kunandugu yangu alikuwa anakuja na ngorika ila cjajua ameondoka na bac la sa ngap ehee mungu we mbona ajal nying sana mwaka huu
 
Back
Top Bottom