FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Huyo sio mlokolo anakujua fika.We ungempa kubwa tu.Hayo ndo majini yenyewe.Hata hivyo umeongea nae kistaarabu sana.Mpigie tena halafu mwambie asirudie.
Nilipata shock Mzinga ..
iweje mlokole ategee mzee amefika na mida ya usifu apige simu eti kaoteshwa???
Ila nilimwambia mzee kama atapiga tena naomba uongee nae
Loh walokole wengine wana mapepo..
haya mambo ya kuoteshwa ni uongo mtupu tamaa tu zinamsumbua:tape2:
Jamaa yuko in Love kupitia ndoto?
Pole kwa maswaibu mamii,,
Mgeni kama ni hivi naona hana nia njema kwangu...Ni Lugha tu katumia Huyo ni mtu anakufahamu nawala sio mlokoleUtaratibu wa kupata mke kwa makanisa ya kilokole hauko hivyo alivyofanyaNaomba utambue kwamba huyo sio mliokole kabisa, amevaa koti hilo ili akufikishie ujumbe wake
Maskini.....pole mwaya!! Kuna watu wanaboa acheni, hilo litakuwa linawafahamu kabisa.......ila basi tu mijitu inajitoaga ufahamu!
Nilipata shock Mzinga ..
iweje mlokole ategee mzee amefika na mida ya usifu apige simu eti kaoteshwa???
Ila nilimwambia mzee kama atapiga tena naomba uongee nae