Mloagiza magari kutoka Japan nijuzeni, Autorec ni Matapeli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mloagiza magari kutoka Japan nijuzeni, Autorec ni Matapeli?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ibrah, Oct 7, 2011.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Wadau. Nimedunduliza kahela ka kununua gari Kampuni ya Autorec ya Japan. Nimekuwa nalipia kwa awamu, nimelipa awamu mbili bado moja ya mwisho. Changamoto ni kuwa kila ninapotuma pesa huwa nawajulisha Autorec na kuwatumia risiti ya TT. Ajabu ni kuwa kwa awamu zote mbili, Autorec wanakiri kupokea pesa lakini zinakuwa zimepungua $ 25/-. Nimefuatilia benki nilizotumia kulipia na wamehakisha kuwa wametuma kama nilivyolipia.

  Autorec wanadai wamepokea pesa pungufu ya $ 25/-. Nijuzeni, hawa ni matapeli?
   
 2. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,717
  Likes Received: 242
  Trophy Points: 160
  kawaida unapotuma pesa kwa TT..kuna bank charges kwa sender's bank na beneficiary's bank...hasa kwa hizi international money transfers.
  hiyo deduction unayoulizia itakuwa imefanywa na beneficiary's bank huko Japan.

  kitu unatakiwa kukubaliana na Autorec ni who bear's overseas bank charges pale TT inatumwa, ikiwa Autorec wanakubali then hakuna shida laa wakisema ni wewe basi mkuu utakuwa huna jinsi isipokuwa kulipa hiyo tofauti...meaning ulipe zaidi kidogo ya PFI yao uli uweze kufidia na bank charges. Bahati mbaya kwako mkuu..kampuni nyingi hukatwa hiyo $25 lakini hawatokwambia b'se wanakuwa wanajua na pengine katika FOB price yao walishaweka hiyo provision.

  hope umeelewa mkuu..hakuna wizi hapo ni transaction costs tu. vizuri umeuliza anyway!
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ukifanya TT remittance huwa bank of beneficiary wana charge $25 kutoka kwa beneficiary (autorec), hivyo basi hiyo amount ni makato kama bank charges kwa exporter na wala haihusiani na wewe kabisaa
   
 4. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Al Zagawi, LAT nawashukuru sana, inaonekana hawa Autorec wana chembechembe za utapeli, haiwezekani washindwe kutoa majibu na badala yake wanasema hawajui kitu, iliwapasa ama waingize hizo usd 25/ kwenye bei ya gari au watueleze wateja kuwa tutabeba hizo gharama. Nadhani competition imewashinda kutoka kwa makampuni mengine.

  Kwa walionunua magari Autorec, waliwakata usd 25 kama mimi?

  Ngoja nipige jaramba kumshukia Sales Manager wao, Yuichi Mizuno.
   
 5. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu kama walivyokuambia wachangiaji hapo juu, hayo makato yanakatwa na benki yenye akaunti ya Autorec huko japan. Bahati mbaya ni kwamba unadunduliza kidogo kidogo, hii itakuumiza zaidi kwa sababu hiyo $25 inakatwa toka kwenye kila transaction. Unavyolipa mara nyingi ndivyo unavyoumizwa tofauti na kama ungelipa kwa mkupuo mmoja. Vinginevyo kwa makampuni ya Kijapan Autorec ni waaminifu hakuna mfano. Tegemea kupata gari la ndoto yako katika hali nzuri sana
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Muwe mnasoma invoice mameandika kabisa bank charges utakatwa wewe..by the way ni hela ndogo ya kipiga azam kola acha lawama subiri vitz ije upate kichaa tra kwa ushuru..
   
 7. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hee, hivi kumbe inawezekana kuagiza gari direct from Japan badala ya kutegemea commission agents??

  Mimi huwa naogopa isije ikawa ni watapeli, ukatuma hela then subiri gari wee haliji, na hela yangu nimeteseka kuipata.

  Je siku hizi magari ya Japan hayana mionzi?? (Radio active uranium)

  kama gari lina mionzi madhara yake ni nini??

  Au Tuagize magari kutoka UK kama Freelander, Ranger Rover, Discover, Volvo, BMW, Ford.
   
 8. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hello Wandugu,

  Nimecheck Autoreck - Subaru Forester milleage 90,000

  Subaru Forester ya mwaka 2000 bei yake ni 3970 US $ ikiletwa mpaka Dar es salaam.

  Je kuna gharama gani kukomboa bandarini?

  Kodi ni kiasi gani??

  Subaru na Suzuki ipi bora
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Subaru bora kuliko Suzuki. Hizo za gharama na kodi nawaachia walioko DSM
   
 10. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kigogo,umeiona hiyo invoice wewe? Mbona unajibu maswali yasoulizwa? Invoice yangu haina hizo details, na ndio maana wameshindwa kunipa majibu na wakataka nifuatilie kwa banker wangu.

  Kwako ni vihela vya Azam cola,kwangu ni zaidi ya hiyo.TRA ntalipa as per invoice watayoraise, Autorec were not open!
   
 11. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Gari la 2000 utalipa anti dumping, hivyo andaa usd 3970 exra kwa uhakika wa kukomboa.

  Kwangu Suzuki ni bora, iko juu kuliko Subaru, na fuel consumption yake ni more economical than Subaru, ingawa bei yake iko juu kidogo
   
Loading...