Mliozaliwa nje ya ndoa

Mliozaliwa nje ya ndoa

Mie juzi juzi nimekataa mimba ya msichana.! Ujue wanawake ni wajinga sana sometimes, hivi anakujaje ghetto yupo kwenye ovulation phase alfu unamchapa kwa ndomu anakuambia hayuko kwenye danger then anasema eti alisahau na baadae mnakubaliana ameze dawa ya kuzuia mimba isitokee anaenda kuitupa anakuambia Mie nitazaa tu hakuna shida...
Huyo ndiye rais wetu wa 2050
 
Unafikiri kwa sababu umezaliwa ndani ya ndoa huyo ndiye baba yako halisi?
 
Wanawake bhana wanachekeshaga sana yan........akshakuwa single mom anakuwa muongo wa kufa mtu, mie nlizaa na binti bwana yan nilikoma, sio kwa mizinga hyo!!!! eti mtoto anaumwa kila wiki, mara mtoto wa kindergatten nilpie twishen, mie natumaga tu hela kumbe yote ni hewa...
Niimecheka hapo ajaye nyuma yangu haogopi vicase
 
Research please, sio unaleta mawazo yako halafu unataka tuamini ndio uhalisia. Tupe source ya hii percentage ulioitoa hapa.
nawe ni miongoni mwa wajinga wanaomiliki vichwa vibovu ambavyo kufikiria vyema hutegemea hali ya hewa...

ni hivi asilimia karibu 85 ya watoto wanaozaliwa ndani ya ndoa ni watoto wa michepuko alafu ulivomjinga unaanzisha uzi ukiwa hujui lolote...

any way subir upepo ugeuze maybe utaweza fikiri vema ukatengua kauli
 
B
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nashukuru kwa taarifa,Nisaidie namba ya baba yangu mzazi tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka atakuwa hana simu ndio maana alikuwa anamtuma vitalis Msungwite cha msingi mtafute Vitalis akupeleke kwa dingi yako. Hongera na pole kwa kupata baba ukubwani.
 
Kwa asilimia 100% mtoto wa nje ya ndoa ndio anajua baba yake halali, ila waliozaliwa ndan ya ndoa almost 25% wanalelewa na baba ambao sio wazazi wao halali yan kiufupi hawajui na wenda wasije kujua kabisa baba zao halali
 
Mie juzi juzi nimekataa mimba ya msichana.! Ujue wanawake ni wajinga sana sometimes, hivi anakujaje ghetto yupo kwenye ovulation phase halafu unamchapa kwa ndomu anakuambia hayuko kwenye danger then anasema eti alisahau na baadae mnakubaliana ameze dawa ya kuzuia mimba isitokee anaenda kuitupa anakuambia Mie nitazaa tu hakuna shida.

Sasa hivi ananilazimisha nianze kuhudumia ukizingatia mie nina majukumu mengi na kazi anajua najiegesha. Sasa juzi juzi alitaka aje home eti akae na mimi nikamwambia Haitatokea.

Kuna wanawake wenye hekima na busara ila kuna kundi la wanawake wasengerema sana hii dunia. Atapambana na hali yake, amjaze hizo sumu huyo mtoto ata amnyweshe kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Bro usiogope maisha oa huyo binti. Ukitaka akimbie piga kitu kila asubuhi kabla ya kuondoka. Ulivyo fala umemkataa huyo hivi sasa unatafuta jimbo jipya.
 
Du topic hii huwaga naogopa sana kuchangia.sababu sina uhakika kama mimi ni wa baba huyu huyu au mother alifanya yake.pia sina uhakika kuwa hawa watoto nilio nao ni wanangu kweli. Hii ni kutokana na visa mbalimbali nilivyovishudia kwa ndoa nzingine ambazo huwa kama filamu hivi.

Ila najipaga moyo kwamba mimi ni mtu mwenye fikra potofu
 
Kwa tanzania asilimia 80 ya wanaume wanalea watoto sio wao tunaita sio biological father bali ni social fathers tu sema wanawake wana siri sana ndio mana zinawatesa wanaamua kwenda kushinda makanisani vifua vyao vimejaa mambo mengi sana. wanasema a woman heart is a deep ocean of secrets.
 
Back
Top Bottom