Samawia
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 592
- 466
- Thread starter
- #41
Hata huyo ambaye unafikiri una uhakika naye, wapo wengine watatu nao Wana uhakika naye na wanapiga kavukavu,Kuna jamaa fulani wanne walitoa kila mmoja 150,000 kwa ajili ya kutoa mimba moja,na walikuwa hawajuani Siri ikaja ikavuja baadaye Sana,binti anakuwa na wanaume wanne halafu wote anawaambia ana mimba Ila anataka kutoa,kila mmoja akatoa mpungaKiufupi tu wanaume mtoto hakataliwi, mtoto sio nguo useme ikiongeza miaka hupoteza thamani.
Wanaume wengi miaka hii wamekua na tabia ya kutelekeza watoto kwa kuwatupia lawama wadada Lakini ukweli Ni kwamba mnakimbia majukumu na baada ya miaka mtoto akikua huwa mnarudi kwa fujo kudai mtoto.
Nawahusia tu, wenye tabia hiyo mfanyayo sio Kama hutaki kuzaa basi usifanye mapenz ya kavukavu na mwanamke yeyote tu except yule uliye na uhakika nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app