kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,461
- 5,860
Mkuu mimi nipo UN kama international personnel, kwa ufupi kimsingi hakuna shirika lolote la UN linalotajiri mtu mara ya kwanza katika mazingira ya kawaida kwa mtu kutuma CV kwa email. Wengi wanatumia form inaitwa P11 ambayo utaikuta online tayari kwa hiyo utakuwa unajaza kila step, mwisho wa siku inakuwa kama CV yakawaida. Kutoka kwenye pool of applicants kwenda kwenye Long listing wanatumia programme ya computer.
Kajiriwa kwa kutuma CV Hii inawekana tu hasa kama umeshafanya kazi kwenye hiyo Duty station na wakatokea wana shida ya gahfla sana wanaweza kukupa ajirabila kuweka kwenye website lakini hiyo inakuwa ni short term consultancy job " I/C au backstopper" ( baadhi ya mashirika hiyo mikataba wanafanya watu wa procurement na wala sio HR) na inabidi wakujazie form inaitwa" NOTE TO FILE".
Otherwise mambo yote ni kwenye website tu.
na hakuna mtu mmoja mwenye final authority. Kama ni fixed term HQ wana simamia kila step na mwisho kuna Central Review Board wanaangalia kama hatua zote zimefuatwa.
Ufafanuzi kidogo HQ ya UN au HQ kwenye nchi husika wanapotangaza kazi .. mdogo wangu yupo interested sana na hizo na ameshajaza profile yake Kwa UNDP na UNICEF..