Mliowahi kuomba kazi mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) mpitie hapa

Hizo UN agencies zina format zake za kujaza taarifa zao, i.e. PHF (Personal History Form). Ukiona specific vacancy unapotaka kuiomba lazima ujaze. Hivyo utakuwa na a/c name pia nywila ili uweze kurejea kwenye a/c ukihitaji kufanya hivyo.
Ushauri ninaokupatia ni ku-adjust your responsibilities kuendana na JD kutokana na vacancies.
Pia maswali ya ziada wakati umekamilisha kujaza PHF ni muhimu kuyazingatia na kujibu vizuri maana hizi agencies zinafanya screening kuona una-meet hizo criteria.
Shtua me kama una swali la ziada.
Asante mkuu.
Unforgetable

Manners Maketh Man
 
Naombeni ushauri wa namna nzuri ya kuandika CV ya kuomba kazi kwenye hayo mashirika tajwa hapo juu hasa hasa UN.

Namna ya kuapply mara nyingi wanakuambia utume CV yako kwenye email. Sasa kimbembe ni kujua muundo wa hiyo CV unatakiwa uweje ili angalau kidogo wakupe attention...
Mkuu ingia Google search 'CV World Bank Format' utapata kila kitu. Nakutakia kila la heri mkuu.
 
Nimewahi fanya interview UNCDF hyo chance niliipata baada ya kujaza portal yao , maswali waliyouliza mostly hyo chance ilikuwa inataka Mambo ya women's, though sikufanikiwa Wala sikuweka cv yoyote, nyingine WFP hyo Wana portal yao unajaza taarifa zako muhimu bila kusahau strong password, hyo WFP unajaza information then Kuna ku attach CV yako na cover letter unatuma. WFP portal yao rahisi ku apply kuliko nyingine za UN.
 
Wanalipwa mshahara mkubwa kuliko hata mfanyakazi wa serikali mwenye 10 years.

Mfanyakazi principal officer wa say EWURA TCRA au BOT wanalipwa more than 5 mil.. directors na managers ni zaidi ya 7 mil
..kuna volunteer wa UN anayelipwa hivyo? Au ulimaanisha nini kiongozi uliposema mfanyakazi wa serikali?..kama unajua stahiili za hao volunteers ziweke tu kusaidia wengine
 
UN Volunteer = US$2,000-2,500/month (stipend, siyo mshahara). Haulipi kodi kama ni international. Mambo mengine unaweza Google, siyo kila kitu uambiwe.
Mfanyakazi principal officer wa say EWURA TCRA au BOT wanalipwa more than 5 mil.. directors na managers ni zaidi ya 7 mil
..kuna volunteer wa UN anayelipwa hivyo? Au ulimaanisha nini kiongozi uliposema mfanyakazi wa serikali?..kama unajua stahiili za hao volunteers ziweke tu kutusaidia wengine
 
UN Volunteer = US$2,000-2,500/month (stipend, siyo mshahara). Nambo mengine unaweza Google, siyo kila kitu uambiwe.

. usikariri UNV wa Kenya hawezi lipwa sawa na wa Serbia.. hiyo Usd 2500 yako ni ya nchi gani? .. any way wakati tunaendelea kusubiri wazoefu zaidi let me dig for more..
 
Kalagabaho kweli kweli kama jina lake. Kumbe unajua. Sasa umeuliza ush*nzi wako hapa wa nini? Hata akili ya kuona kuwa nimeweka range (2,000-2,500) hauna, utapataje kazi UN? Hata akili ya kufungua website ya UNV ili ujionee mwenyewe hauna. Eti, ngoja nisubiri hapa... Kalagabaho wa kweli wewe.
. usikariri UNV wa Kenya hawezi lipwa sawa na wa Serbia.. hiyo Usd 2500 yako ni ya nchi gani? .. any way wakati tunaendelea kusubiri wazoefu zaidi let me dig for more..
 
Kalagabaho kweli kweli kama jina lake. Kumbe unajua. Sasa umeuliza ushenzi wako hapa wa nini? Hata akili ya kuona kuwa nimeweka range (2,000-2,500) hauna, utapataje kazi UN?

Ushenzi tena? .. na aliyekuambia mimi natafuta kazi nani? .. you frustrated or something!!
 
Naombeni ushauri wa namna nzuri ya kuandika CV ya kuomba kazi kwenye hayo mashirika tajwa hapo juu hasa hasa UN.

Namna ya kuapply mara nyingi wanakuambia utume CV yako kwenye email. Sasa kimbembe ni kujua muundo wa hiyo CV unatakiwa uweje ili angalau kidogo wakupe attention...
Mkuu mimi nipo UN kama international personnel, kwa ufupi kimsingi hakuna shirika lolote la UN linalotajiri mtu mara ya kwanza katika mazingira ya kawaida kwa mtu kutuma CV kwa email. Wengi wanatumia form inaitwa P11 ambayo utaikuta online tayari kwa hiyo utakuwa unajaza kila step, mwisho wa siku inakuwa kama CV yakawaida. Kutoka kwenye pool of applicants kwenda kwenye Long listing wanatumia programme ya computer.

Kajiriwa kwa kutuma CV Hii inawekana tu hasa kama umeshafanya kazi kwenye hiyo Duty station na wakatokea wana shida ya gahfla sana wanaweza kukupa ajirabila kuweka kwenye website lakini hiyo inakuwa ni short term consultancy job " I/C au backstopper" ( baadhi ya mashirika hiyo mikataba wanafanya watu wa procurement na wala sio HR) na inabidi wakujazie form inaitwa" NOTE TO FILE".
Otherwise mambo yote ni kwenye website tu.

na hakuna mtu mmoja mwenye final authority. Kama ni fixed term HQ wana simamia kila step na mwisho kuna Central Review Board wanaangalia kama hatua zote zimefuatwa.
 
Asante kwa ufafanuzi wako mkuu.
Kwa hiyo kwa kifupi watu wote wanaoingia UN wanaingia kihalali kabisa,yaani kama kazi iliyotangazwa inamatch na qualifications zangu kuna uwezekano wa kuipata?
Mkuu mimi nipo UN kama international personnel, kwa ufupi kimsingi hakuna shirika lolote la UN linalotajiri mtu mara ya kwanza katika mazingira ya kawaida kwa mtu kutuma CV kwa email. Wengi wanatumia form inaitwa P11 ambayo utaikuta online tayari kwa hiyo utakuwa unajaza kila step,....
 
Screenshot_20191025-085657.png
 
Naombeni ushauri wa namna nzuri ya kuandika CV ya kuomba kazi kwenye hayo mashirika tajwa hapo juu hasa hasa UN.

Namna ya kuapply mara nyingi wanakuambia utume CV yako kwenye email. Sasa kimbembe ni kujua muundo wa hiyo CV unatakiwa uweje ili angalau kidogo wakupe attention.

Najua CV ya kutuma kwa hawa mabwana haiwi kama zile za kwetu ambazo mwishoni unaweka referee watatu. Hivyo kwa ambaye anajua naombeni msaada wa format yake ikiwezekana kama nitapata sample nitashukuru sana.

Cc: Nyani Ngabu Sky Eclat Zitto

Manners Maketh Man
Soma vizuri tangazo la kazi yenyewe na job description. Zamani sana miaka ya 90 niliwahi kuomba nafasi moja ya UNIDO ambayo nilidhani nilikuwa na ujuzi unaotakiwa, na kweli hata waliponijibu kunigomea nafasi hiyo walisema nilikuwa na ujuzi kamili, ila sikuwa na sifa kwa sababu nafasi ilikuwa inahitaji watu ambao ni raia wa nchi za maeneo ya South East Asia. Ndipo nikagundua kuwa ujuzi na uwezo wa kazi ni tofauti sana na sifa za kazi yenyewe.
 
Back
Top Bottom