Naomba kujuzwa namna ya kupata kazi kwenye Mashirika ya Umoja wa Mataifa

Miriam43

Member
Apr 30, 2017
6
8
Habarini Humu ndani,

Naombeni msaada au Mashauriano au Anayefahamu ni namna gani ya Kupata nafasi ya kazi katika Mashirika haya ya Umoja wa Mataifa UN, PWC, Delloite, EAC na Mashirika mengine makubwa makubwa aidha yako chini ya UN au hayako chini ya UN maana leo nimekumbana na swali hili. Is it comnection? Is it Luck? Is it mpaka Kuvolunteer na Hizo intern au unapataje pataje huko?

Nawasilisha
 
Kama mkuu wa kitengo ni Mtanzania basi connection ndio CV bora na sio ujuzi au elimu yako.

Usiombe HR awe mmatumbi kwenye taasisi yoyote ile, kazi kuipata labda ukamroge lakini bila connection sahau tu na hata siku unaona tangazo la kazi ujue walishaanza kazi mwezi mmoja nyuma huko.

Mwisho kabisa Mungu ni mkubwa, kuna muda anaamua kukupenyeza bila connection yoyote, hivyo basi mtumainie yeye ndoto zako zitatimia hata kwa kifo cha mtu ili wewe upate tu.
 
Ni kweli
 
kuuumbe kweli bana si unaona mie ndo wa mwisho kusogeza uzi na hkn mwingine tena lkn mie nina wazo kuhusu tatizo kubwa hapa sasa je niseme?......au mtachukia?
 
kuchelewa ku respond nitawaelewaje bandugu
Ongea tu sister
Afadhali weye umejitokeza sasa ni hivi;;; Bwana weee!! mjihadhali saaana na Moshi uleee!! unaosababishwa na Mafuta yaleee!! ya Mwenge eebaneee!!! Pale Nyerere aliwaroga kweli! mpaka hamjitambui!.....mpaka leo...

hii ni post ya kimataiafa unalipwa kwa level ya kimataifa unaishi kimataifa unajirusha kimataifa na wasiokujua watakujua kimataifa tena, sasa wasiokuwa na kazi humo Bongo ni weeengi ajabu!

je wanashindwa nini kujitokeza na kuchangia maujanja ya kusepa na kusepua kwa wingi km zote??? hapo ndo nashindwaga akili z kibongo!

kwa uzi km huu wenzetu huko jua linako chomoza wangekuja km mvua na kwa wingi km zote???....tatizo lenu kubwa ni Mwenge na moshi wake nakwambia hamta chomoka humo!...yaani km mleta mada ukitaka hizi mambo zako ziende kwa level za juu!!

jiunge kwenye forum za huko mbele uone ni dakika sifuri tu unatimiza marengo!! ili mradi ujue ku-flow Lugha km saba hivi!! za level hiyo! km hujui kasome kuleee!!....Upanga, Masaki course zote zipo tena bei rahisi tu! lkn uwe tayari kuanzia kwenye kazi Battle field!!
 
Hayo ya moshi wa mwenge na nyerere kuturoga ni yako sister yanakufanya na wewe urudi kule kule kuwa na caliber za wabongo

Jibu ni fupi tu watanzania wengi hawana exposure ya haya mambo ndio maana muitikio wa majibu ni mchache plus wa tz ni wabinafsi
 
Napinga kwa asilimia zooote!!! ungesema wachache siyo kusema wengi!!!! na pia ubinafsi/uchoyo haujaanza leo!! karne na karne ulikuwepo!! lkn mbona tuna maendeleo!!! nimeonewa miaka 10 nisitoboe nikawa mbishi! ..nikatoboa!!

Yasser arafat mara 58 anapigwa vita binafsi/ majungu hatari tena yale ya kumuua lkn jiulize aliacha.....Mungu na ubabe wake woote!!malaika robo tatu walimuasi si huyo hapo...chnga moto si ubinafsi! funguka dogo!
 
kuchelewa ku respond nitawaelewaje bandugu

Afadhali weye umejitokeza sasa ni hivi;;; Bwana weee!! mjihadhali saaana na Moshi uleee!! unaosababishwa na Mafuta yaleee!! ya Mwenge eebaneee!!! Pale Nyerere aliwaroga kweli! mpaka hamjitambui!.....mpaka leo...

hii ni post ya kimataiafa unalipwa kwa level ya kimataifa unaishi kimataifa unajirusha kimataifa na wasiokujua watakujua kimataifa tena, sasa wasiokuwa na kazi humo Bongo ni weeengi ajabu!

je wanashindwa nini kujitokeza na kuchangia maujanja ya kusepa na kusepua kwa wingi km zote??? hapo ndo nashindwaga akili z kibongo!

kwa uzi km huu wenzetu huko jua linako chomoza wangekuja km mvua na kwa wingi km zote???....tatizo lenu kubwa ni Mwenge na moshi wake nakwambia hamta chomoka humo!...yaani km mleta mada ukitaka hizi mambo zako ziende kwa level za juu!!

jiunge kwenye forum za huko mbele uone ni dakika sifuri tu unatimiza marengo!! ili mradi ujue ku-flow Lugha km saba hivi!! za level hiyo! km hujui kasome kuleee!!....Upanga, Masaki course zote zipo tena bei rahisi tu! lkn uwe tayari kuanzia kwenye kazi Battle field!!
Una maanisha zile lugha zinazotuliwa na UN..pia kuhusu elimu hapo vipi..na konekisheni ni moja kwa moja au indirect.

#MaendeleoHayanaChama
 
Habarini Humu ndani,

Naombeni msaada au Mashauriano au Anayefahamu ni namna gani ya Kupata nafasi ya kazi katika Mashirika haya ya Umoja wa Mataifa UN, PWC, Delloite, EAC na Mashirika mengine makubwa makubwa aidha yako chini ya UN au hayako chini ya UN maana leo nimekumbana na swali hili. Is it comnection? Is it Luck? Is it mpaka Kuvolunteer na Hizo intern au unapataje pataje huko?

Nawasilisha
"Wa Mataifa" Kuna shida mahali
 
Napinga kwa asilimia zooote!!! ungesema wachache siyo kusema wengi!!!! na pia ubinafsi/uchoyo haujaanza leo!! karne na karne ulikuwepo!! lkn mbona tuna maendeleo!!! nimeonewa miaka 10 nisitoboe nikawa mbishi! ..nikatoboa!!

Yasser arafat mara 58 anapigwa vita binafsi/ majungu hatari tena yale ya kumuua lkn jiulize aliacha.....Mungu na ubabe wake woote!!malaika robo tatu walimuasi si huyo hapo...chnga moto si ubinafsi! funguka dogo!
Sasa kama mtu anajua kitu hasemi hapo dada tuna define nini ? sema mwenyewe

Na nikisema wengi namaanisha sio wachache kwa sababu kwa sasa hivi watanzania wengi wana access na mambo ya mtandao

And then wengi hawana exposure utawakuta kwenye ig page ya mange kimambi au udaku so I stand with my statement exposure ni ndogo

Lakini tukija mfano kwenye mitandao ya wenzetu quora ,Reddit , nakadhalika kule wapo attentive kwanza utakacho uliza utapata jibu Fasta in short hata kama hutapata msaada unachouliza lakini majibu ni satisfactory either yakuwezeshe kuvuka pointi A to B sasa hapo ndio uta evaluate tabia zao

Kuniletea special cases Kama Yassir hizo ni implications ndogo tu zinatokea haimaanishi wabaya wabinafsi kule hawapo

Ila huwezi kuwa compare na sisi wabongo sister
 
Kwanza kabisa, Kwa Mungu hakuna kikao, akiamua kukupa anakupa hahitaji kumuuliza mtu.

Pili, niliambiwa siku Moja "..to get the job in UN system, you must be good speaker, to keep the job, you have to be good writer"

Hakuna jibu Moja litakalotoa muongozo au uhakika wa asilimia zote kuhakikisha kupata kazi ila zingatia yafuatayo.

1. Jitahidi kuwa mtu wa kuongeza maarifa na ujuzi Kwa kusoma kozi mbali mbali, iwe Kwa mtandao au kuhudhuria kabisa darasani. Usikae muda mrefu bila kufanya chochote Cha kujiongezea maarifa.

2. Jaribu kupitia kurasa wanazotoa au kutangaza ajira mbali mbali za mashirika unayotaka kufanya nayo kazi. Angalia nafasi zilizopita uone wanahutaji sifa Gani na wanasisitiza mambo Gani. Wengine wanapenda kushauri ujiunge kwenye mfumo wao, uweke taarifa zako za elimu na uzoefu wako, usione uvivu, jaza tu.

Niliwahi kujaza profile na nikaomba kazi PwC ulipita muda nikawa nimeshasahau hata ilikua nafasi Gani, ikibidi niwaombe JD. Tulifika mbali sana interview tukaja kushindwa a padogo sana. Lakini ule mchakato ulinisaidia kupata kazi nzuri zaidi sehem nyingine.

3. Ikitokea nafasi ya kujitolea, usijivunge. Nenda Kwa lengo la kujifunza na ufanye kazi Kwa bidii. Usiende kama sehem ya kujishikiza, hautaona mafanikio ya kujitolea kwako.

4. Jiamini na uwe na Imani kwamba unaweza kufanya kazi vizuri kwenye shirika lolote.
 
Back
Top Bottom