Mliowahi kuomba kazi mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) mpitie hapa

Asante sana mkuu, mode of application ni kupitia email hivyo hiyo application window haitumiki.
Unforgetable

Manners Maketh Man
UN agency gani hiyo mkuu? Maana UN ninazozifahamu huwa wanakutaka ufungue akaunti kwenye website yao yenye tangazo la kazi na huko ndiko utaingiza details zako zote! Ukisha-submit utajulishwa kwamba application yako imepokelewa!

Kama utafaulu kuwa shortlisted utajulishwa hatua inayofuata! Tena wakati unajaza hiyo link unaambiwa kabisa documents zako ziwe kwenye PDF ili ukifika sehemu ya ku-upload unafanya hivyo! Nakujibu hivi kutokana na experience yangu ya kufanya interview na kufaulu kuajiriwa na WFP!
 
Kutumia email address?? Cross my fingers usije ukaingizwa mjini.
Anyway, nimewahi kufanya interview kadhaa kwenye UN agencies lkn mode of job application haikuwa kutuma emails.

Nachojua kazi una-apply kwa kujaza online links ambazo wanakuwekea kwenye kila tangazo la kazi. Mara nyingi attached document wanayoitaka ni cover letter. Maelezo mengine kuhusu elimu yako, skills, job experience, referies na blahblah nyingine kuna segment unazijaza kwenye hiyo online application form...

Nakubaliana na wewe mkuu.
UN agencies zote zina application portal. Hii inakuwezesha kutengeneza profile yako yenye personal details (age, location na contacts details), work experience, education, job related questions, questions about gender (haya siyo lazima kujibu). Pia kuna UN agencies nyingine ambazo kwenye profile yako pia unatakiwa uweke resume/CV pamoja na cover letter ila nyingine ni 1 page cover letter tu. Hata WFP wana job application portal.

Kwa UNHCR na IOM kwa Tanzania huwa wanatumia Personal Hostory (PH) 11 form ambayo ina vipengele kama kwenye application portal. Unaijaza na kusign electronically. Baada ya hapo unatuma kwa email.

Kuhusu CV format nadhani wakuu wameshasema hapo juu. Ila make sure unatuma ulichaombiwa kama ni CV tuma CV na kama ni resume tuma resume. Cover letter iwe page moja ambayo inademostrate how your experience has prepared you to undertake roles of the job that your are applying.

Be careful : Karibia international NGO zote hapa bongo (Engender, plan international, ICAP, Oxfam etc) na UN agencies zina application portal zao ambazo zina store information zako na hauhitaji kutuma kwa email. Very few wanatumia email. So ni kuwa makini usije kuwa unadeal na scammers.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe mkuu.
UN agencies zote zina application portal. Hii inakuwezesha kutengeneza profile yako yenye personal details (age, location na contacts details), work experience, education, job related questions, questions about gender (haya siyo lazima kujibu). Pia kuna UN agencies nyingine ambazo kwenye profile yako pia unatakiwa uweke resume/CV pamoja na cover letter ila nyingine ni 1 page cover letter tu. Hata WFP wana job application portal...
hio personal history inakua online au format yake inakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni ushauri wa namna nzuri ya kuandika CV ya kuomba kazi kwenye hayo mashirika tajwa hapo juu hasa hasa UN.

Namna ya kuapply mara nyingi wanakuambia utume CV yako kwenye email. Sasa kimbembe ni kujua muundo wa hiyo CV unatakiwa uweje ili angalau kidogo wakupe attention...
Nilishaomba Sana kazi kwenye haya mashirika..

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
haya mashirika nayatafuta sana aisee,ndio kazi nazipenda kuliko zote. Nilibahatisha kufanya interview moja na shirika linaitwa MSF(Doctors without borders) ila sikutoboa.

Tulifanya written interview ina format mbaya sijawahi kuona tangu nizaliwe paper moja lina maswali ya fani kama 7 hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni ushauri wa namna nzuri ya kuandika CV ya kuomba kazi kwenye hayo mashirika tajwa hapo juu hasa hasa UN.

Namna ya kuapply mara nyingi wanakuambia utume CV yako kwenye email. Sasa kimbembe ni kujua muundo wa hiyo CV unatakiwa uweje ili angalau kidogo wakupe attention....
Haya mashirika unatuma kwa email? Maombi yao huwa unaaply online platform na nyingine unaweza kuwa na account ambayo CV yako tayari ipo humo utakuwa na jukumu la ku-update details zako tu. Na hakuna format ya CV. Mara nyingi utaambatisha na cheti chako cha ya mwisho uliyonayo.

Mfano wa online application platform ya UNICEF nimeweka screenshot.

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1458716
 
Hizo UN agencies zina format zake za kujaza taarifa zao, i.e. PHF (Personal History Form). Ukiona specific vacancy unapotaka kuiomba lazima ujaze. Hivyo utakuwa na a/c name pia nywila ili uweze kurejea kwenye a/c ukihitaji kufanya hivyo.

Ushauri ninaokupatia ni ku-adjust your responsibilities kuendana na JD kutokana na vacancies. Pia maswali ya ziada wakati umekamilisha kujaza PHF ni muhimu kuyazingatia na kujibu vizuri maana hizi agencies zinafanya screening kuona una-meet hizo criteria.
Shtua me kama una swali la ziada.
 
Back
Top Bottom