Mliowahi kufanya biashara minadani naombeni uzoefu

Mliowahi kufanya biashara minadani naombeni uzoefu

Um_abraar

Member
Joined
Aug 4, 2025
Posts
5
Reaction score
10
Habari zenu wa JF.
Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha.

Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni mkubwa?
Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom