Mliowahi kudate na wanawake athlete

Nenda simba Queen wapo wengi wanahitaji mume
 
Wadau nimepata kamke kanapenda kucheza mpira yupo vizuri kwenye soka unaweza ukadhani mwanaume japo uzuri wake hujapotea bado anaonekana ana umbo la kike.

Niliwahi kusikia wadada athlete wana pumzi wanakupelekesha, hebu wazoefu naombeni ushauri.
Mkuu tuma picha kwanza tumuone ili tukushauri vizuri.
 
Nenda simba Queen wapo wengi wanahitaji mume

Nipo njiani naelekea kwa SIMBA QUEEN..... waiter bia zangu nitazijia hizo ohooo[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Poa Letaga mrejesho
 
Ipo njia yakudoji mbona.. unajua ukikaa na fundi nawe unakuwa fundi..[emoji23]

Kama Kuna mwanamke anataka niwe mchepuko wake na aje tu asihofu..[emoji12]
Nadhan wameshajaa kwa PM yako mkuu.
 
Mkuu hapo usiachie komaa nae huwa waelewa na wapo vyema sana.. Bora we umepata wengine huku tumepatikana!.. nilienae kabobea kwenye uchawi nimeshazoea fisi ni kama mbuzi tu..πŸ˜‚
comments zako huwa zinanichekesha sana 😁
 
Wadau nimepata kamke kanapenda kucheza mpira yupo vizuri kwenye soka unaweza ukadhani mwanaume japo uzuri wake hujapotea bado anaonekana ana umbo la kike.

Niliwahi kusikia wadada athlete wana pumzi wanakupelekesha, hebu wazoefu naombeni ushauri.
Si ushauri wewe ulienae au bado hujampanda?
 
Kuna wengine zinawakera..!
kwangu ni tofauti,nikiona umecomment kwenye uzi huwa ninaanza kusmile kabla sijasoma.Kuna member alikuwa anajiita Viatu vya samaki nae alikuwa ananifanya kila saa nichungulie jf ili nione wapi amecomment,nicheke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…