The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,305
- 122,156
Waambie umeamua kurudi nyumbani kijijini ili kulea wazazi wako coz Afya zao sio imara na hawana muangalizi wa kuwaangalia na wao hawawezi au hawayataki maisha ya Mjini coz huko Kijijini wana Mashamba na Mifugo yao ndio wewe unaenda kuwalea na kusimamia mali zao, bila shaka Bosi wako sio member humu JF na hasomi ushauri wetu kwako.