Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
- Thread starter
- #41
Usiogope mkuu, kila kitu kinawezekana.Kuacha kazi sio kazi mkuu acha kutuzuga

Hapana, ni kwenye shirika la umma.unafanya kazi serikali za mitaa
Umri wangu sio mkubwa, niko kwenye late twenties,nina miaka 4 kazini. Mhasibu wa fedha.MKUU si kweli kama havihitajiki,
- Umri- kuna umri ukifikia huna aja ya kuacha kazi kwamaana soon utastaafu.
- muda aliofanya kazi: kuna muda ukifikisha kazini, ukaamua kuacha kazi unalipwa kila mwezi na mashirika ya mafao, kama amebakiza muda mchache kuufikia muda huo anaweza subiri.
- Kazi anayofanya ( Sijauliza anapofanya). kuna kazi nyingine unaweza kufanya mambo yako mengine huku bado ukiwa kazini bila kuharibu kazi kabisa.
- Umejiandaa kufanya nini baada ya kucha kazi: utakuwa ni mwendawazimu kama unataka kuacha kazi kama hujajipanga
Mimi ni mtumishi wa umma,nina miaka 4 kazini ila nataka kuacha kazi.
Nataka kuacha ili niendeshe biashara zangu ndogo ndogo, lengo langu ni kua mfanya biashara na sio mfanyakazi. Najua mshahara haujawahi kumtajirisha mtu popote duniani ukiacha deals kama za kina masamaki.
Nimekua nafanya vibiashara vidogo vidogo ila naona havikui wala kuleta hela ya maana zaidi ya vipesa vya kubadili mboga na vocha.
Najua huwezi kufanya kazi huku unafanya biashara hiyo biashara ikakua, mabwana wawili kwa wakati mmoja haitawezekana.
Nataka kuacha kazi ila nakosa balls za kunisukuma kuacha ila natamani sana kuacha, nipeni mbinu mliachaje. Usilete ushauri hapa wa kutokuacha kazi.
Mimi mtu wa tatu kutoka kazini baada ya nyie wawili...2018 naacha kazi serikaliniMkuu uko sahihi kamisa mimi mwenyewe niko mbion kuquit job nifanye yangu...sababu hakuna mtu aliyewahi kuwa tajiri kwa mshahari otherwise madili ya hapa na pale.
Ila mi ningekushauri before quit ,hivyo hivyo vibiashara vidogo make sure vinakulete faida ambayo itakutosheleza kuishi na ikiwezekena akiba kidogo bila kudisturb capital... hapo sasa ndo unaweza kuacha kabisa kabisa.
soma kitabu kinaitwa poor dad richdad, before quiting you job, cash flow quadrant vyote vya robert kiyosaki. Vitakusaidia sana kushape ideal mimi nimevisoma vimenisaidi sana.
hivyo vitabu vyote viko youtube unaweza kusikiliza pia, mimi kwangu naona vitabu muhimu sana kusoma vitakusaidia sana mkuuu hasa kubadili fikra na kujenga confidence.
Mimi ni mtumishi wa umma,nina miaka 4 kazini ila nataka kuacha kazi.
Nataka kuacha ili niendeshe biashara zangu ndogo ndogo, lengo langu ni kua mfanya biashara na sio mfanyakazi. Najua mshahara haujawahi kumtajirisha mtu popote duniani ukiacha deals kama za kina masamaki.
Nimekua nafanya vibiashara vidogo vidogo ila naona havikui wala kuleta hela ya maana zaidi ya vipesa vya kubadili mboga na vocha.
Najua huwezi kufanya kazi huku unafanya biashara hiyo biashara ikakua, mabwana wawili kwa wakati mmoja haitawezekana.
Nataka kuacha kazi ila nakosa balls za kunisukuma kuacha ila natamani sana kuacha, nipeni mbinu mliachaje. Usilete ushauri hapa wa kutokuacha kazi.
Choma moto academic certificates zote ndipo uache kazi.Mimi ni mtumishi wa umma,nina miaka 4 kazini ila nataka kuacha kazi.
Nataka kuacha ili niendeshe biashara zangu ndogo ndogo, lengo langu ni kua mfanya biashara na sio mfanyakazi. Najua mshahara haujawahi kumtajirisha mtu popote duniani ukiacha deals kama za kina masamaki.
Nimekua nafanya vibiashara vidogo vidogo ila naona havikui wala kuleta hela ya maana zaidi ya vipesa vya kubadili mboga na vocha.
Najua huwezi kufanya kazi huku unafanya biashara hiyo biashara ikakua, mabwana wawili kwa wakati mmoja haitawezekana.
Nataka kuacha kazi ila nakosa balls za kunisukuma kuacha ila natamani sana kuacha, nipeni mbinu mliachaje. Usilete ushauri hapa wa kutokuacha kazi.
unaenda kwa daktari halafu unaanza unampa masharti. Umekuja na Shida toa detailsMaelezo hayo yanatosha, yanajitosheleza, nataka kuacha kazi.
Anza kwanza hiyo biashara ukiwa kazini...kkazi itakuwa inajazia pale patakapopingua wakati wa kianzisha. Mwanzo una changamotoMimi ni mtumishi wa umma,nina miaka 4 kazini ila nataka kuacha kazi.
Nataka kuacha ili niendeshe biashara zangu ndogo ndogo, lengo langu ni kua mfanya biashara na sio mfanyakazi. Najua mshahara haujawahi kumtajirisha mtu popote duniani ukiacha deals kama za kina masamaki.
Nimekua nafanya vibiashara vidogo vidogo ila naona havikui wala kuleta hela ya maana zaidi ya vipesa vya kubadili mboga na vocha.
Najua huwezi kufanya kazi huku unafanya biashara hiyo biashara ikakua, mabwana wawili kwa wakati mmoja haitawezekana.
Nataka kuacha kazi ila nakosa balls za kunisukuma kuacha ila natamani sana kuacha, nipeni mbinu mliachaje. Usilete ushauri hapa wa kutokuacha kazi.
Ulifanikiwa?Mimi mtu wa tatu kutoka kazini baada ya nyie wawili...2018 naacha kazi serikalini
Umejenga ? Una usafiri? Je biashara unayotaka kufanya ni ile ya kupanga faida au faida inapanda kulingana na demand na supply ?Mimi ni mtumishi wa umma,nina miaka 4 kazini ila nataka kuacha kazi.