D dmkali JF-Expert Member Nov 17, 2014 11,284 21,403 May 24, 2021 Thread starter #41 MalcolM XII said: Isije ikawa una mshipa halafu sisi tunahangaika huku. Hauna busha mkuu? Click to expand... Mbona unapaniki wakati swali la kawaida tu
MalcolM XII said: Isije ikawa una mshipa halafu sisi tunahangaika huku. Hauna busha mkuu? Click to expand... Mbona unapaniki wakati swali la kawaida tu
Basi Nenda JF-Expert Member Jul 29, 2017 20,175 45,904 Sep 21, 2021 #42 tang'ana said: Ile ganzi haichomwi kwenye korodani mkuu..inachomwa ndani pale mkojo unapotokea Click to expand... hawapi😂 ni pumbu bana,mimi nilichomwa
tang'ana said: Ile ganzi haichomwi kwenye korodani mkuu..inachomwa ndani pale mkojo unapotokea Click to expand... hawapi😂 ni pumbu bana,mimi nilichomwa
G G4N JF-Expert Member Apr 6, 2014 1,475 3,672 Sep 21, 2021 #43 Unique Flower said: Hakuna kwa maana kaka zangu wote walifanyiwa hospitali na wameoa wanawatoto Click to expand... Siyo uthibitisho kwamba kaka zako hawajapata athari ya mshedede a.k.a mpingo. Yawezekana wake zao wanagongwa na wajanja halafu wanalea watoto wa hao wajanja
Unique Flower said: Hakuna kwa maana kaka zangu wote walifanyiwa hospitali na wameoa wanawatoto Click to expand... Siyo uthibitisho kwamba kaka zako hawajapata athari ya mshedede a.k.a mpingo. Yawezekana wake zao wanagongwa na wajanja halafu wanalea watoto wa hao wajanja