kipepe comrade
Member
- Jun 8, 2019
- 41
- 27
Ya matomboMambo ya wapogoro ndo yapi ?
Ya matomboMambo ya wapogoro ndo yapi ?
watu ambao hali zinafanana urafiki mara nyingi unakuwa wakinafki na pia vita ni muda wote coz hamuwezi kuheshimiana.Binadamu ni hatari.Kuna mwingine mkiwa wote mnafurahi kumbe nyuma anatamani hata ufe. Mimi nimefikia hatua kwa mfano tupo tumeenda lunch,nikisimama kwenda maliwaton let say nimeacha maji. Nikirudi siyanywi tena. Full kuwindana.
Hili la kuwa lunch au kwenye manywaji halafu ukirudi unaogopa kuendelea na kinywaji ulichonza ni la muhimu. Hapo kuna makundi mabalimbali yanakuwinda: 1. WASHIRIKINA: Mimi siamini ushirikina sana lakini wanaweza kukulisha uchafu mbaya sana au hata sumu wakiamini ni dawa ya kukutenda uwapende zaidi, ushushwe cheo, upate mkosi nk. 2: WEZI: Sehemu nyingi za bar au hotel siku hizi zina wezi wenye dawa za kulevya tayari kuwinda yeyote anayezubaa. 3.WAUAJI: Hawa ni wale wanaokuwekea sumu kwa lengo la kuua.Binadamu ni hatari.Kuna mwingine mkiwa wote mnafurahi kumbe nyuma anatamani hata ufe. Mimi nimefikia hatua kwa mfano tupo tumeenda lunch,nikisimama kwenda maliwaton let say nimeacha maji. Nikirudi siyanywi tena. Full kuwindana.
Ni kweli. Na kama ni mnyama mdogo, dume anaweza kula peke yake/peke yao hata kama kawindwa na jike.Simba jike ndo huwinda,ila kula anaanza simba dume. Hii ni kweli ? Ila kwa mfano Simba wa pride nyingine akikamata nyati. Wa pride nyingine wanaweza kuja kula pia ?
Mi huwa najiuliza hivi hawa wenye roho mbaya hizi stori za moto wa milele hawazisikii au mtu anaamua kujilipua duniani alafu huko mbinguni potelea mbali akaishi kwa shida milele manake kuna watu wa katili sijapata ona. Mtu utakuta hamuingiliani kwa lolote ila anakuchukia tuNilimaanisha kubaniana katika maisha. Yaani hautaki mwenzako aendelee. Kuna watu mpaka wanarogana maofisini kutafuta vyeo. Kwa mfano unaenda kuroga ili mwenzako asipandishwe cheo.
Yaani sijui hata chanzo ni nini ? Sijui wanakuwa wana nini kwenye bongo zao watu wa namna hii.Mi huwa najiuliza hivi hawa wenye roho mbaya hizi stori za moto wa milele hawazisikii au mtu anaamua kujilipua duniani alafu huko mbinguni potelea mbali akaishi kwa shida milele manake kuna watu wa katili sijapata ona. Mtu utakuta hamuingiliani kwa lolote ila anakuchukia tu
Wengi nimechukunguza historia zao wamekulia kwenye either umaskini mkubwa au wamekua abused sana wakiwa wadogo so wanakua na chuki mioyoni mwao.Yaani sijui hata chanzo ni nini ? Sijui wanakuwa wana nini kwenye bongo zao watu wa namna hii.
Ila bora basi Simba kama wanavyoweka mark hivyo pride moja haiwezi kwenda kwa mwenzake.Ni kweli. Na kama ni mnyama mdogo, dume anaweza kula peke yake/peke yao hata kama kawindwa na jike.
Simba kwenda kula kwenye pride nyingine ni next to impossible. Ujue kwanza Simba ni Territorial. Madume hu mark eneo lao kwa mkojo. Hii tabia hata mbwa wanayo. Hili la kuingia pride nyingine na kushambuliwa ina hold hata kwa fisi.
Ni kweli binadamu ni kiumbe complex sana.Hili la kuwa lunch au kwenye manywaji halafu ukirudi unaogopa kuendelea na kinywaji ulichonza ni la muhimu. Hapo kuna makundi mabalimbali yanakuwinda: 1. WASHIRIKINA: Mimi siamini ushirikina sana lakini wanaweza kukulisha uchafu mbaya sana au hata sumu wakiamini ni dawa ya kukutenda uwapende zaidi, ushushwe cheo, upate mkosi nk. 2: WEZI: Sehemu nyingi za bar au hotel siku hizi zina wezi wenye dawa za kulevya tayari kuwinda yeyote anayezubaa. 3.WAUAJI: Hawa ni wale wanaokuwekea sumu kwa lengo la kuua.
Mimi kama tuko kwenye round ya za bia na watu nilionao hawasomeki au niko peke yangu huwa namaliza chupa ninayo kunywa kwanza na nikirudi naagiza nyingine.
Umeongea logic sana kuna jamaa dizain anataka kuleta mashindano alafu mi sina time kila nnachofanya anaiga then anaangukia pua. Basi chuki ndio inazidi mi huwa nawaambia wapambe wake mwambieni jamaa yenu mi sina mashindano manake am not that ambitious vitu vyangu nafanya kwa plan na kila move iko calculated yeye anaingiaga kichwa kichwa.watu ambao hali zinafanana urafiki mara nyingi unakuwa wakinafki na pia vita ni muda wote coz hamuwezi kuheshimiana.
Leo nimemfuma paka akimyanganya paka mwenziwe samaki, halafu anampiga mwenziwe bila ya shaka huyu paka anatokea Chato.Hivi wanyama mfano Simba na wao hubaniana kama binadamu tulivyo?
Wanadamu wa ajabu sana. Wale mliosomea tabia za wanyama wengine ukiacha binadamu,na wao hubaniana ? Kama hapana kwa nini binadamu hawa Homo sapiens hubaniana sana?
Note: Namaanisha kubaniana katika maisha. Kuwa na roho ya korosho, yaani unafanya juu chini ili mwenzako asifanikishe jambo lake.
Hatari. Ila bora hiyo ya kunyan'ganyana live. Sio ya kunyan'ganyana kisiri.Yaani unapigwa vita wewe ukiwa hujui lolote.Leo nimemfuma paka akimyanganya paka mwenziwe samaki, halafu anampiga mwenziwe bila ya shaka huyu paka anatokea Chato.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kuna jamaa ameishi UK miaka 20 amerudi kudai mali zake zilizo kuwepo mikononi mwa ndugu zake. Sasahivi ukimuona huwezi kuamini kama aliishi UK, yaani wame mtengeneza analala nje ya maduka na kuishi kwa kuomba. Akili zikimjia analalamika kwa alivyo fanyiwa, kikulacho kinguoni mwako.Hatari. Ila bora hiyo ya kunyan'ganyana live. Sio ya kunyan'ganyana kisiri.Yaani unapigwa vita wewe ukiwa hujui lolote.
Jamani. Angejua wala asingerudi. Angejikalia zake UK tu. Inawezekana alikuwa anawatumia pound za kutosha kipindi yupo UK. Yote hayo wamesahau.Kuna jamaa ameishi UK miaka 20 amerudi kudai mali zake zilizo kuwepo mikononi mwa ndugu zake. Sasahivi ukimuona huwezi kuamini kama aliishi UK, yaani wame mtengeneza analala nje ya maduka na kuishi kwa kuomba. Akili zikimjia analalamika kwa alivyo fanyiwa, kikulacho kinguoni mwako.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Yaani huyo usiwe hata unawaambia wakamwambie. Huyo ulishamfahamu yaani unampotezea tu. Akiambiwa kama unavyowaambia wakamwambie atakuja kukuroga bure. Hawana hiyana hawa.Umeongea logic sana kuna jamaa dizain anataka kuleta mashindano alafu mi sina time kila nnachofanya anaiga then anaangukia pua. Basi chuki ndio inazidi mi huwa nawaambia wapambe wake mwambieni jamaa yenu mi sina mashindano manake am not that ambitious vitu vyangu nafanya kwa plan na kila move iko calculated yeye anaingiaga kichwa kichwa.
Mawazo yangu yalishaenda mbaaaaali mbali sanaHivi wanyama mfano Simba na wao hubaniana kama binadamu tulivyo?
Wanadamu wa ajabu sana. Wale mliosomea tabia za wanyama wengine ukiacha binadamu,na wao hubaniana ? Kama hapana kwa nini binadamu hawa Homo sapiens hubaniana sana?
Note: Namaanisha kubaniana katika maisha. Kuwa na roho ya korosho, yaani unafanya juu chini ili mwenzako asifanikishe jambo lake.
Sana tuUlishawahi kanyagwa ?