Mliosoma Remote Sensing & GIS kwa Dr.MWANUKUZI UDSM 2004 Tuwasiliane!

Dili tupo.

Hata kwenye sensa ijayo ilipaswa watumie hii kitu ili sensa ya miaka ijao iwe ya ukweli zaidi.

Pia kama we ni geologist itakufaa.
 
Nilisoma Mkuu. Na nikapata nafasi kusoma kozi inayofanania na hiyo kwa ufadhili wa NUFFIC. wewe upo wapi?kwa sasa nafanya kazi na jamaa wanaitwa Centre for Spatially Integrated Social Sciences hapa US. Hii kozi inalipa na pia ni useful sana coz ipo accurate mno (kwa kila sekta, Kilimo,kuchagua maeneo ya kilimo/kufuga, Utabiri wa hali ya hewa but huko kwetu hakuna anayefikiria kuwekeza kwa teknolojia hii tumekaa kupiga domo tu na kuhimiza watu wasome digrii za Kiswahili na Political Science.
 
even me i wish kuendelea kuisoma level ya masters utaniraidiaje?
 
Ndg.Ma doudou... ukitaka kusoma GIS tafuta vyuo vya Netherlands wana offer hiyo course zaidi NUFFIC pia wanatoa ufadhili ukishapata admission lakini ujue shule ya Ulaya esp. Netherlandsa inataka commitment si ya kudesadesa mtu wangu so inabidi ukomae
 
kukomaa nitakomaa nahitaji kujua wanaaply vipi?
 
Google NETHERLANDS universities zen fuatilia hizo links tatizo wabongo mnataka kufanyiwa kila kitu wewe vp? au unataka nikultee fomu kwenu nikujazie! kama ulivosoma TZ jifunze kucheza na computer bro!! acha kulia lia! dunia hii usipochangamka na kuwa na bidii ya kujifunza utaishia kulalamika kama wenzio mimi sikuambiwa na mtu kuhusu hizo scholarship nilichakalika mwenyewe.
 
Mie si bro ndugu mi ni sisy
 
Ndg.Ma doudou... ukitaka kusoma GIS tafuta vyuo vya Netherlands wana offer hiyo course zaidi NUFFIC pia wanatoa ufadhili ukishapata admission lakini ujue shule ya Ulaya esp. Netherlandsa inataka commitment si ya kudesadesa mtu wangu so inabidi ukomae

Ni kweli kaka bila kukomaa huondoki na MSc yako huko.
Lakini siyo Universities za Netherland tu, bali hata vyuo vingine vya Ulaya, lazima ukomae sana...

Inatia moyo kuona Wabongo huwa wanaweza kusoma na mwishowe kupewa Msc zao.
 
Back
Top Bottom