Mliosoma IFM miaka ya 90 tutafutane

Mliosoma IFM miaka ya 90 tutafutane

Umsumbalembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
929
Reaction score
851
Habari wana jamii Forum, wale wasomi wa IFM miaka ya 90 tukumbukane hapa jamii forum.
 
Fafanua....tuliosoma IFM miaka ya tisini amaa tuliomaliza miaka ya tisini?
 
Tisini ipi mimi nimesoma 1993 mpaka 1996 darasa la uhasibu
 
Habari wana jamii Forum, wale wasomi wa IFM miaka ya 90 tukumbukane hapa jamii forum.

Usisahau Pia Na Kujua Na Idadi Ya Wale Wenzenu Waliokufa Kwa UKIMWI Miaka Hiyo Hiyo Ya 90 Kwani IFM Ina Historia Yake Ya KUTUKUKA Hapa Nchini Tanzania Na Hasa Hasa Jiji La Dar es Salaam.
 
Hvi hki chuo ndiyo kipo karibia na barabarani? imepakana na maeneo hayo kuna bank? dar nilishawah kufika wiki moja tu ktk maisha yangu na nilizunguka karibia mji mzima! dar siyo salama kwa afya yangu kulinishinda!
 
Usisahau Pia Na Kujua Na Idadi Ya Wale Wenzenu Waliokufa Kwa UKIMWI Miaka Hiyo Hiyo Ya 90 Kwani IFM Ina Historia Yake Ya KUTUKUKA Hapa Nchini Tanzania Na Hasa Hasa Jiji La Dar es Salaam.
popoma umesomea wapi upopoma?
 
Hivi hata miaka ile ilikuwa ishu kupata first class?maana 2010 Accounts hatukuzidi wa5!Heshima zimwendee Sinde,Mkumbo,Mgeni,Zawadi na Mkenda bila kumsahau Braza man Mulamula
 
Usisahau Pia Na Kujua Na Idadi Ya Wale Wenzenu Waliokufa Kwa UKIMWI Miaka Hiyo Hiyo Ya 90 Kwani IFM Ina Historia Yake Ya KUTUKUKA Hapa Nchini Tanzania Na Hasa Hasa Jiji La Dar es Salaam.

Sawa mkuu, tujulishane pia, ila acha unyanyapaa!
 
Hivi hata miaka ile ilikuwa ishu kupata first class?maana 2010 Accounts hatukuzidi wa5!Heshima zimwendee Sinde,Mkumbo,Mgeni,Zawadi na Mkenda bila kumsahau Braza man Mulamula

Mkuu, first class ilikuwa kazi kwelikweli, chezea Manongi wewe!
 
Usisahau Pia Na Kujua Na Idadi Ya Wale Wenzenu Waliokufa Kwa UKIMWI Miaka Hiyo Hiyo Ya 90 Kwani IFM Ina Historia Yake Ya KUTUKUKA Hapa Nchini Tanzania Na Hasa Hasa Jiji La Dar es Salaam.

acha wivu wewe popoma!kafufue ule uzi wa kwenu vilaza wa SAUT,hapa tuachie wenyewe!
 
Sio miaka ile tuu mkuu...hadi sasa ndo iko hivyo

Hivi hizo first class mkishazipata zinasaidia nini maana nchi bado maskini vilevile, wizi uleule, upumbavu uleule, miundombinu ileile. Kuna faida gani kupata first class??
 
1998 Graduate...Nipo NBC sasa.HAHA sometime nakumbushia enzi club Mbowe sasa Billcanas.IFM thank you.
 
Unamkumbuka mama Tully na luoga na Mzee masome na Kavura wewe,dah kona unamkuta mzee bishagazi ni noma first class itoke wapi.ADA 1994-1997
 
Back
Top Bottom