Mliosoma IFM miaka ya 90 tutafutane

Mliosoma IFM miaka ya 90 tutafutane

Mkuu vp unamkumbuka Mr.Hamim Gwiyama

Namkumbuka sana ,Ujambo!!!!!Si mara ya mwisho alikuwa chief accountant wa contraction/consultant company moja inatokea au inauhusiano na wasweeden hivi iko morroco ?
 
Unamkumbuka mama Tully na luoga na Mzee masome na Kavura wewe,dah kona unamkuta mzee bishagazi ni noma first class itoke wapi.ADA 1994-1997

Luoga aliondoka mapema alipoteuliwa na Rais Mkapa ku lead kitengo cha VAT wakati inaanzishwa.
 
Du,mnatukumbusha jinsi sherehe zilivyokuwa zinaanzia siku ya alhamisi Tazara club,Ijumaa pinc coconut,Jummosi Bills na Jumapili tunamalizia Pool side(Kilimanjaro hotel Enzi hizo) Chini ya Dj Rankeem Ramadhani.Ilikuwa ni juu ya mwanachuo kuchagua siku nzuri kwake.
 
Mi nilimaliza 2000 nahusika? ADA make Bishagazi kwa Management accounting na Mwandenga Economics alikuwa noma ila alisha tangulia mbele ya haki RIP Mwandenga
 
Zawadi anakukamata M.A halafu anakuvujishia paper yake ya sup
Hivi hata miaka ile ilikuwa ishu kupata first class?maana 2010 Accounts hatukuzidi wa5!Heshima zimwendee Sinde,Mkumbo,Mgeni,Zawadi na Mkenda bila kumsahau Braza man Mulamula
 
Namkumbuka sana ,Ujambo!!!!!Si mara ya mwisho alikuwa chief accountant wa contraction/consultant company moja inatokea au inauhusiano na wasweeden hivi iko morroco ?

jamaa yuko vzuri sana
 
Back
Top Bottom