huyo wako ni mwenyeji ulimkaribisha mwenyewe na hadi funguo unamwachiaApostle kuna ushuhuda hapa.
Nimeshaona matokeo, huyu wangu ni jambazi, maana nimeset CCTV camera, kumbe huwa anakuja na wenzake watatu wanapika Mchele wangu wote, nyama, samaki, maini kwenye friji na anakunywa vinywaji vyangu vyote na majambazi wenzake. Kisha anachukua jezi zangu za Liverpool anavaa na kuondoka nazo.
Sitaacha tena funguo magetoni wala mlango wazi. Kuwa single kuna faida, sitaki demu (By Juma Nature)
Toka umeanza kuvaa miwani na kutuchungulia kwa juu una dharau sanaunauhakika😅
Kuwa single ndo ulale mlango wazi mkuu? Huko si kutafuta matatizokivipi
Shenziiiiiiiiii nilale mlango wazi akiingia popo bawa je 🤣🤣Ujumbe unamuhusu ShesRise_1 🤣🤣
Basi ujue huyo huyo ndio solimeti wako🤣Shenziiiiiiiiii nilale mlango wazi akiingia popo bawa je 🤣🤣
Kumbafuuuuu mfyuuuuuu mie nina karashi kibao nitachukua hata mumoyaBasi ujue huyo huyo ndio solimeti wako🤣
Kumbe ni kuchukua tu!! Ngoja nami nichukue🤣🤣Kumbafuuuuu mfyuuuuuu mie nina karashi kibao nitachukua hata mumoya
Nimeanza jana.Umeanza lini? na ulisema tuchinjwe!
Siwezi tena. Saiv inabidi swali libadilike kutoka kua kwanini upo single na kua kwanini una multiple partner.wew huwez
Basi sawa nakuja! 😎Nimeanza jana.
🥰🥰Basi sawa nakuja! 😎